@bongofive: Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania @smsuva27 akiwa kwenye Podcast ya #B4TheFame ameweka wazi kuwa Simba walitaka kumlipa laki tano ili aweze kusaini akagoma na kwenda Yanga pia amefunguka sakata lake la kutapeliwa nchini Morocco ameyazungumza hayo mbele ya @el_mando_tz Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 July 2026 19:15:40 GMT
31008
1649
4
10

Music

Download

Comments

user1992547130301rajabu
Namakanya Jr :
big up
2026-07-08 19:23:32
0
piusyamungu
PIUS YAMUNGU BUSWITA :
Nimechagua kulinda amani, umoja na mshikamano wa taifa langu. Nakataa maandamano yenye vurugu na nakataa vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa nchi. Tuilinde Tanzania yetu kwa kuheshimu amani, umoja na sheria."
2026-07-09 09:51:10
3
user_soldierboy
Jacob Njoka 🇹🇿🇹🇿 :
💯💯
2026-07-08 20:16:55
0
bad.vybz6
bad vybz :
💯💯💯💯
2026-07-09 06:12:13
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About