Carrot nakaa nazo miezi mitatu na haziaribiki aisee jamani tafuteni vikontena wekeni tissue chini kisha carrot na juu weka tissue kisha funika kontena laki weka kwenye friji, mlete mrejesho hapa
2026-07-09 07:39:08
52
meshack sumari :
ila hapo chef usipo weka maji inakua more taste also you can use only tomato
2026-07-09 06:10:18
2
kiroche1 :
ahsante tunaomba video za sauce mbali mbali yani...ata 5 muhimu please
2026-07-08 22:50:05
6
Brinny🦋 :
sasa kama huna frij c inaharibika yote
2026-07-09 05:03:27
3
Vernie_4♡ :
baada ya hapo unaweka kwny frij au
2026-07-09 08:25:15
1
Ora💙 :
Hivi yellow mustard huwa inatumika kwenye nini?
2026-07-09 04:57:03
3
KHARID JR :
jina la nyimbo
2026-07-09 05:58:38
0
Eng H :
Usizioshe ukitoka kununua, funga kwenye vile vimfiko vya dukani hewa isipite. Znakaa hata 2 months. Nyanya ukitia kwenye fridge unaharibu unaweza pika tomato paste alfu gandisha nyingine tia kwenye fridge. Hoho huoshi pia Ila hufungi kwenye mifuko.
2026-07-09 03:17:28
5
Mwenda G :
❤️❤️❤️
2026-07-09 04:35:12
1
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
😁😁😁
2026-07-09 06:04:24
0
Mwenda G :
🥰🥰🥰
2026-07-09 04:34:59
0
mina.chicc :
🥰🥰🥰
2026-07-09 12:46:13
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm
homepage.