@muteeb408: #viral #viralvideo #foryou #foryoupage #trending

░▒▓█ نقاشات عامة █▓▒ (3)
░▒▓█ نقاشات عامة █▓▒ (3)
Open In TikTok:
Region: SA
Wednesday 08 July 2026 21:15:53 GMT
23799
330
57
88

Music

Download

Comments

user2inr94g3yj
. :
يازينك ساكته كل وحده حره بحياتها
2026-07-09 07:32:13
21
alyaadreams3
Lolo dreams :
لا احد يتفلسف في موضوع الطلاق او يناقش محد يعلم بالقصص إلا الله وحده اولا هو قدر ثانيا القصص والظروف تختلف ثالثا لا تعمموا ولا تحكموا ورابعا الشكل الاجتماعي مو اهم من الصحة
2026-07-09 11:04:44
11
rrnn448
❤️ :
اعتقد قرار الطلاق قرار شخصي يختلف باختلاف الظروف
2026-07-09 01:19:50
21
muni0880
Munirah :
ماهو لازم الزواج مره ثانيه لكن ماراح ارضى اني اكون نكره في بيته ومالي قيمه ولا كرامه وانقذ ماتبقى من كرامتي وصحتي بعد صبر طويل
2026-07-09 09:09:38
18
mrmohammed246
mrmohammed :
لاسف طرح سطحي …!!
2026-07-09 10:44:48
4
user2090993731831
مومه :
الطلاق عشان ارتاح نفسيا وارتاح من مسؤوليته
2026-07-09 12:35:12
3
amnmrrmamg
بنت ابوها :
الحياه مو كلها زواج
2026-07-09 12:30:21
3
y946636
y :
غلطان صبرت كثير وجا الوقت الي ترتاح
2026-07-09 08:08:37
7
dalal.rashid
Dalal Rashid :
قراري في الطلاق بعد هذا العمر اريج للالي التوتر في هالعمر متعب البعد افضل
2026-07-09 13:57:48
3
akl_19936
بريق الماس 💎 :
رأيك خليه ل نفسك
2026-07-09 10:28:11
4
sara.sarita833
Sara Sarita :
43 سنة زواج
2026-07-09 18:11:27
0
user18955685
Muhanad Albadry :
مثل حالتي ونفس تلشي مريت بي
2026-07-09 16:51:31
0
has_sat
ابو إبراهيم :
حلوه تكون حياة جديدة 🤣😂🤣😂🤣
2026-07-09 10:46:08
0
jjmmkkkk__
J :
احس تقصد حد معين في بالها لان القصص والظروف تختلف
2026-07-09 15:39:22
0
madyalameer
ماضي الأمير :
والله كلامك عين العقل
2026-07-09 16:01:19
0
kareem25059
سماء صافيه :
اضمني انه مايتغير عليها بعد الزواج
2026-07-09 05:51:43
1
jenniferlopez9505
douja Gucci :
الكل حكيم وصاحب موعظة بس لما ماتكون القصة قصتك
2026-07-09 15:56:01
0
nidalalone
Nidal :
منطقي و عقلاني .
2026-07-09 06:47:44
0
zooz1160
zooz116 :
2026-07-09 13:16:31
0
zooz1160
zooz116 :
اللهم (اشكوا بثي وحزني الله وحدة اااااااااااخ)
2026-07-09 13:18:34
0
user271113511
💙🤍الزهراني 💙🤍 :
2026-07-09 13:33:03
0
user6960046543267
الحمدلله :
أفضل نظام الطيبات رحمك الله يا دكتور ضياء العوضي الي جنات النعيم يارب العالمين
2026-07-09 15:05:52
0
alamri_430
ابو هاني :
منقالك خسران والله محلل اربع ؟
2026-07-09 15:01:28
0
To see more videos from user @muteeb408, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ni 2021 siku ya alhamisi ya mwezi wa tatu, ni usiku ambao sitokuja Kuusahau kwenye maisha yangu yote, Ilikuwa ni miezi miwili baada ya mke wangu Kuajiriwa. Kikawaida mke wangu alikuwa akirudi nyumbani saa 12 jioni, akichelewa sana ni saa Moja, Mimi nilikuwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na Biashara zangu. Siku hiyo narudi nyumbani saa mbili nakuta mke wangu hayupo, akili ikanituma labda kaenda Kwa majirani, nikatulia ikapita dakika kama 17 hivi, nikamuuliza dada wa kazi, wifi yako Yuko wapi? (Hivyo ndo walikuwa Wana itana), akasema hajarudi bado kutoka kazini, hapo hapo ikabidi nipige simu, ila Cha ajabu Ikaita bila kupokelewa, nilipiga mpaka mara 4 simu ikawa haipokelewi, nikajaribu mara ya tano Ikaita kidogo mara ikakatwa, nikapiga tena ikawa haipatikani, Akili yangu ikarudi nyuma kufikiria, siku tatu nyuma mke wangu hakuwa sawa, alionekana mnyonge sana ila Kila nikimwuliza nini shida akawa anajibu yuko sawa, ana tabasamu japo sivyo nilivyo mzoea. Sasa nilivyo piga simu ikawa haipokelewi mara ikakatwa ikazimwa akili yangu ikaniambia huyu ananisaliti ndiyo maana amebadilika sana, akili yangu ikaanza Kukubaliana na ule usemi
Ni 2021 siku ya alhamisi ya mwezi wa tatu, ni usiku ambao sitokuja Kuusahau kwenye maisha yangu yote, Ilikuwa ni miezi miwili baada ya mke wangu Kuajiriwa. Kikawaida mke wangu alikuwa akirudi nyumbani saa 12 jioni, akichelewa sana ni saa Moja, Mimi nilikuwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na Biashara zangu. Siku hiyo narudi nyumbani saa mbili nakuta mke wangu hayupo, akili ikanituma labda kaenda Kwa majirani, nikatulia ikapita dakika kama 17 hivi, nikamuuliza dada wa kazi, wifi yako Yuko wapi? (Hivyo ndo walikuwa Wana itana), akasema hajarudi bado kutoka kazini, hapo hapo ikabidi nipige simu, ila Cha ajabu Ikaita bila kupokelewa, nilipiga mpaka mara 4 simu ikawa haipokelewi, nikajaribu mara ya tano Ikaita kidogo mara ikakatwa, nikapiga tena ikawa haipatikani, Akili yangu ikarudi nyuma kufikiria, siku tatu nyuma mke wangu hakuwa sawa, alionekana mnyonge sana ila Kila nikimwuliza nini shida akawa anajibu yuko sawa, ana tabasamu japo sivyo nilivyo mzoea. Sasa nilivyo piga simu ikawa haipokelewi mara ikakatwa ikazimwa akili yangu ikaniambia huyu ananisaliti ndiyo maana amebadilika sana, akili yangu ikaanza Kukubaliana na ule usemi "mwanamke Akianza kushika pesa ana badilika", Nilianza kujuta kwanini nilimruhusu afanye kazi, nilianza kujilaumu sana mpaka nikaanza kufokea watoto huku nawaambia mama yenu ameshaanza upuuzi, Yani nilianza kufoka sana, nikampigia simu rafiki yake akaniambia kazini wametoka saa 12 na waliagana vizuri tu. Muda ukazidi kwenda huku nimekaa nje kumsubiri huku nimeshikilia mkanda, nilikuwa sijawahi Kumpiga mke wangu hata Kofi ila siku hiyo nilipanga nimpige sana, nilikuwa na hasira ambayo haipimiki, muda ulizidi kwenda Kila nikipiga simu haipatikani, nikampigia dada yake naye akasema amempigia simu haipatikani. Saa sita usiku nikiwa niko Facebook kwenye group la jamii forums (sijui siku hizi kama bado lipo) mara nikakutana na picha ya mwili Iko pembeni ya Barabara huku wame andika; "Kuna ajali imetokea hapa stop Over huyu dada amefariki kagongwa na bodaboda akiwa anashuka kwenye gari kama una ndugu yako hajarudi nyumbani wasiliana nasi au nenda hospital ya Muhimbili ukajihakikishie au unaweza kuangalia Viatu hivyo" Nilivyoona Viatu tu nilianza kulia hapo hapo, nikaenda Kwa jirani nikamueleza na kumuonyesha picha akampigia yule aliye post wakaongea, walivyo maliza akanishika Mkono tukaingia kwenye gari mpaka Muhimbili, tukajitambulisha tuka pelekwa mochwari, ndo nakuja kumshuhudia mke wangu kalala kwenye Usingizi wake wa milele huku kapasuka kichwa vibaya Sana. Ni tukio ambalo haliwezi kutoka kichwani mwangu, nilimuwazia mabaya mke wangu kumbe muda wote nawaza hayo alishalala masaa matatu yaliyo pita, Mke wangu nakupenda sana naomba unisamehe hicho kitu nakijutia sana, katika maisha yangu najutia sana nilicho kuwazia siku hiyo. Umeniachia zawadi hizi mbili, Kila nikimtazama mwanangu huyu wa kike nakuona wewe mke wangu, bado unaishi kwenye maisha yangu. Nimeona nishee na nyie hii stori Kwa sababu ni kitu ambacho kimekuwa kama sehemu ya maisha yangu, nimejifunza Kila binadamu anapo karibia kufikwa na umauti Kuna dalili anazionyesha hata kama haumwi. MORE THAN PAINFUL #tiktok #tanzaniantiktok #trending #kenyantiktok🇰🇪

About