kama unaamin kuna siku naww utadrive gari tu like mungu atuone pia 🖖🏽🙏🙏
2026-07-10 12:50:18
1123
Felix rukomwa :
veta hukuti hii
2026-07-09 10:24:46
274
Josephat omosa :
thanks
2026-08-29 12:29:53
0
isra_classic01 :
Unatupa Elimu kubwa sana kaka.
Mwenyezi Mungu akubariki.
2026-07-09 10:26:44
255
tumain78 :
leo bando langu halijaenda bure barikiwa sana kaka umenifungua pakubwa san👏🏻👏🏻
2026-07-09 11:08:20
64
prìscu dè Princè :
matumiz ya hiyo button ndogo kwenye gearstick mkuu
2026-07-10 06:25:31
40
LG :
Tume elewa sana kaka asant sana .Ila na swali moja umesema huwezi kubadili iyo gear ukiwa hujawasha gar ,yan mpaka ushikilie iyo shift lock but apo mbele umebadilisha bila kushika shift lock .sjaelewa apoo
2026-07-09 11:11:29
27
Javis Jâivâh vibes💤✳️ :
kuna dame anasoma comments bila suruali😩
2026-07-11 16:43:06
5
Esther2023 :
Nishajua kuendesha gari, bado kununua gar
2026-08-05 11:11:28
10
𝗠𝗥•💵𝗛𝗨𝗦𝗦𝗘𝗜𝗡💵 :
Nitamiliki gar na mie mungu site pia mungu ni mwema
2026-07-09 22:36:22
11
ANORD _ BR7 :
Asante sana Kwa elimu kubwa ulio toa
naomba kujua huko chini upande wa brack na moto
break inakaa upande Gani na hiyo ya moto inakaa upande Gani???
2026-07-10 01:59:55
37
mr mess :
iyo L ni low gear
2026-07-10 07:56:58
8
kasasaart :
Cha kuongezea hakuna gear ya neutral
2026-07-09 19:27:28
14
NoT_Fam○uS :
Mkuu ukiwa unashift from D let’s say to L inabid uwe kwenye mwendo au usimamishe gari kwanza utoe D urud L au 2? Yan swali n kwamba kweny shift from D to L maybe 2, inabid usimamishe gari au hata ikiwa kwenye mwendo?
2026-07-10 08:19:31
16
murid@ramadhan :
hizi ndo faida tunazozitaka kwenye matumizi ya TikTok ahasante sana
2026-07-10 16:16:11
7
s.w.e.e.t047 :
Asant umenifundisha vizur
2026-07-10 04:04:46
6
Beauty cosmetics Arusha 💄 :
Na yenye m _D Rava 4
2026-07-10 12:52:11
6
isaka tz :
Asante ndugu ukweri nilikuwa sijuwi kabisa ila leo umenielewesha vizuri sana
2026-07-10 12:04:32
5
kauzen :
Shukrani sana kaka yani ni kama niko VETA
2026-07-09 06:21:49
13
chuseboy49 :
thanks kwa mara ya kwanza🙏
2026-07-09 07:02:25
6
Shuby :
kumbe gari ya automatic inaruhusiwa kubadili kwa manual moja kwa moja bila madhara yoyote? Ama kuna effects hasa hapo kwenye kubadili kitoka D kwenda 2 na L....naomba jibu tafadhali🙏
2026-07-09 18:20:37
8
Chanukah :
Barikiwa saaaana nienda kuendesha sasa gari nimekuelewa
2026-07-09 14:32:26
7
mr pool table :
mimi ninani hata nisikushukuru kwa elim yako ulioitoa asante sana ubarikiwe
2026-07-09 13:27:25
8
francis mwasi :
wazzi bro good job
2026-07-17 15:36:20
2
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.