@nicksonkanyelele: SHALOM MTU WA MUNGU, WIMBO WETU UTAKUWA YOUTUBE NA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE KESHO.. YouTube: Minister Nickson Kanyelele Isaya 45:5 “Mimi ndimi BWANA, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hakuna Mungu...” Isaya 9:6 Anaelezea kwa habari Jina Yesu na Uwezo wake! Na Biblia inatuonyesha majina hayo maana yake ni nini! Bwana wa MaBwana, Mungu mwenye nguvu, baba wa milele mfalme wa Amani tena anaelezewa Kama Mshauri wa ajabu! Usipitwe na Baraka za wimbo huu mtu wa Mungu! Mungu akubariki sana unapoendelea kuombea wimbo huu ambao tutauachia siku ya Kesho kwenye mitandao yote ya kijamii na channel zote! Nisaidie kushare kwa neema ya Mungu! Tuwafikie watu waendeleee kumtukuza. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #viraltiktok
baba baba baba mungu akutunze yani nyimbo zako kuna namna zinaleta hisia fulani ya kuomba yani wimbo wa kumsifu ila unajikuta unanena kwa lugha mungu akuinue zaidi na zaidi 😭😭🔥🔥🔥hakuna mwingine kama yeye
2026-07-10 03:47:00
1
jerryson thimos :
one love brother umenigusa sana kaka mung akubariki sana jmn
2026-07-10 21:47:58
1
Mariam zabron🎧 :
Broh 🙌🙌🙌🙌
2026-07-09 15:25:31
1
Sarah❣️😘 :
Glory to God 🙏🙌
2026-07-10 09:37:22
0
sarahbrown@💕 :
Nasubiri hii
2026-07-10 09:22:52
1
SAMDEPSALMIST ✅🎁🎺 :
if this song has blessed you weka like
2026-09-23 08:49:15
0
vestinah❤️ :
🙌
2026-07-09 03:37:09
1
Peter :
🥰🥰🥰
2026-07-09 02:52:40
1
Charles Mangala :
😁😅😂🤣☺️
2026-08-02 18:09:26
1
salomesimon2417 :
🙌👌
2026-07-09 17:15:29
1
Victrosty😎 :
🔥🔥🔥
2026-07-09 10:56:49
1
Sabinafransic :
🔥🔥🔥
2026-07-09 10:25:32
1
princesbriana6 :
🔥🔥🔥
2026-07-09 14:06:35
2
To see more videos from user @nicksonkanyelele, please go to the Tikwm
homepage.