@shoshhack1: Sink yako inanuka vibaya? 😷 Usitumie pesa nyingi… CHUMVI tu inatosha! 🧂✨ Mwaga chumvi kwenye sink, mimina maji ya moto kidogo, acha ifanye kazi yake… Harufu mbaya inaisha kama uchawi! 💥 Jaribu leo uone tofauti 🔥 #ShoshHacks #UsafiWaNyumbani #LifeHacks #JikoniSafii #MamaTips