@silvabelmsuyaofficial: KWAYA KUU KKKT KIMARA, Katika Njia ya Injili #zilipendwa #gospelzamani

Rev. Silvanus Abel (Silvabel)
Rev. Silvanus Abel (Silvabel)
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 04:59:35 GMT
115357
5174
125
387

Music

Download

Comments

jenniferanthony970
Jennifer Anthony :
😭😭😭😭😭 Rest in eternal peace. woi the way I liked watching your videos 😭😭😭😭😭
2026-07-27 11:01:38
0
flower.cute13
Flower Cute :
R. I. P Rev Silvanus
2026-07-26 21:04:14
0
staphordbugale
Staphord Bugale :
it sound like SDA
2026-07-25 20:40:36
0
romanus.tairo
Romanus Tairo :
Mtunzi alifanya kazi nzuri sana kwenye huu wimbo
2026-07-09 18:09:30
29
glory.lyimo69
glory mambore :
R.V MSUYAA TUTAKUKUMBUKA DAIMA
2026-07-26 21:26:10
5
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
jamani wimbo wangu unaonikosha huu🥰🥰🥰
2026-07-10 02:59:54
11
avinapilla
Avina Pilla :
my favourite jamani napate hii nyimbo
2026-07-09 09:03:36
4
monie813
monie :
Daah pastor @silvabel kapumzke yerusalem mpya😭😭😭😭😭 na watatifu wote🥹🥹🙏
2026-07-27 06:10:22
1
kikore_mkushi
kikore :
simnaona sio lazima uruke sana na kucheza mnoo, 🥰🥰🥰
2026-07-09 08:04:11
17
bonfacemoikan
bonimyoung :
Mnasema ni zilipendwa kwani waliimba mwaka gani.... maana nilianza kusikia 2008.
2026-07-10 07:35:37
2
user35630015410443
kwamboka :
we used to sing this song with my two late sisters. keep dancing with the angels.
2026-07-11 08:13:18
0
taitakanyeta
taita :
Kaimbe Na Malaika patakatifu Kwa MUNGU tulikupenda Sana Sana lkn MUNGU amekuchagua wewe 😭pumzika Kwa Aman baba mch😭😭😭
2026-07-27 08:14:21
2
emmanuel.ngassa0
Emmanuel Ngassa :
mm ni mkatoliki, lkn naupenda sana wimbo huu,
2026-07-10 13:38:06
4
beingkamchizi
Kamchizi :
mpk mewakumbuka wazazi wangu🙏🏽🙏🏽 may their soul rest easy🕊
2026-07-15 10:24:06
1
useranneth05
[email protected] :
Huu wimbo naupenda sana. Kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazima niusikilize kwanza.
2026-07-09 20:09:55
4
vivianvictor31
Vivian Victor :
Wimbo wangu pendwa 🥰!! Shangazi angu anaimba hii kwaya kipindi niko mdogo alikuwa ananisikilizisha
2026-07-10 17:37:08
2
daz_g_enterprises_tz
Daz_G_Enterprises_TZ :
Naombeni kwanza Nikadownload Niskilize Kwenye Sabufa yangu Mpya... Afu nitakuja kukomenti
2026-07-09 22:11:35
3
stella.nakembetwa
Stella Nakembetwa :
alitenda hakikwenye huu Wimborne mungu azidikutunza
2026-07-10 19:17:53
2
user28493292610187
Deathbed Doctrines :
mbali na uchungaji pia inaelekea ulikuwa mwanakwaya sauti ya nne,,,,big up mchungaji
2026-07-10 05:32:44
3
game_chenja
Game_chenja :
Barikiwe sana Mchungaji,.
2026-07-10 16:04:24
1
kimyyoug
Nhino Sendo store :
aseee sina hata week toka nimeanza kufatilia account yako Pumzika mchungaji 😭
2026-07-27 12:46:16
0
carenm53
carenmunis😇 :
Uwiii jamani mchungaji🥺 Pumzika kwa amani
2026-07-27 11:43:30
0
sara.maryin
sara maryin :
R.I.P tutakumbuka Sana utumishi wako😭😭
2026-07-27 06:06:39
0
ney.gerry
Ney Gerry🌹 :
duuuuh😭😭😭😭😭
2026-07-27 05:08:16
0
amani56366
Amani :
R I P
2026-07-27 12:03:39
0
To see more videos from user @silvabelmsuyaofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About