@airbnbkitajiri: Sio kila mteja ni mstarabu. Baadhi yao watakuingia kwenye airbnb yako na wataondoka na vitu. Ni muhimu kujua namna yakujikinga. Kwa kuchukua security deposit, kufanya inventory, kutumia checklist. Hakikisha unafanya hivi tajiri kuilinda biashara yako. --- Kama upo serious kuingia kwenye biashara hii, Airbnb Kitajiri Pro (mafunzo ya siku 7 kwa njia ya mtandao) yatakuonyesha: ✅ Jinsi ya kuanza hata kama huna nyumba ✅ Namna ya kutengeneza hadi 800,000/=–5,000,000/= kwa mwezi ✅ Mfumo wa kupata bookings na reviews nzuri mara kwa mara ✅ Jinsi ya kujenga kipato cha uhakika kupitia Airbnb 📌 Kama umechoka kuwa na shauku ya kuifanya biashara hii ya Airbnb ila hujui uanzie wapi — basi Airbnb Kitajiri Pro ni fursa ya kujifunza kwanza, kabla hujaweka pesa nyingi kukodisha na kufurnish, na kuingia hasara. 👇 BOFYA LINK KWENYE BIO na itakuleta whatsapp kupata muongozo wa kuanza safari yako ya uhuru wa kifedha. #Airbnb #airbnbkitajiri #airbnbtanzania #ShortTermRental #tanzania
Airbnb Kitajiri
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 06:00:02 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @airbnbkitajiri, please go to the Tikwm
homepage.