@ufugajisamaki_kilimo: BEI MPYA ,BEI MPYA ,BEI MPYA ๐ฅ๐ฅ๐ฅ ๐๏ธ BEI ZA MABWAWA YA UFUGAJI WA SAMAKI ๐ Je, unataka kuanza au kupanua mradi wako wa ufugaji wa samaki? DM BLUEWAVE AQUACULTURE LIMITED tunakuletea mabwawa ya kisasa kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu. Tunatoa: โ Mabwawa ya Saruji (Concrete) โ Mabwawa ya HDPE Damliner โ Movable Ponds Bei zimeandaliwa kulingana na uwezo wa kufuga samaki kuanzia 500 hadi 5,000, hivyo unaweza kuchagua kifurushi kinachokufaa. ๐ Wasiliana nasi: 0654 895 040 | 0713 074 204 ๐ www.dmconsultancy.co.tz DM BLUEWAVE AQUACULTURE LIMITED "We do excellent in every pond." #DMBluewave #FishFarming #Aquaculture #FishPonds #ConcretePond Damliner MovablePond Tilapia Catfish UfugajiSamaki Tanzania BlueEconomy
hilo la mita 5 kwa 10 linachukua maji ujazo gani na unahitaji kubadirisha mara ngapi kila baada ya muda gani, na je kama niko mkoani kuna gharama zitaongezeka au bei ni hiyohiyo?
2026-07-30 14:43:25
0
Mofulu 0rg :
hapo sawa wakuu mmetisha
2026-07-19 14:28:45
0
Cokap :
tutatoboa kweli mbona bei wakuu
2026-07-10 04:15:46
1
To see more videos from user @ufugajisamaki_kilimo, please go to the Tikwm
homepage.