@nyebowsa_media: Anaitwa Sef Shaban maarufu Matonya "Tonyambili" Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva ambaye anastori mbaya sana kumuhusu siku za hivi karibuni huko kwa majirani Nchini Kenya April 9,2026 Mwamuziki Matonya alishitakiwa na kufikishwa mahakamani katika eneo la Shanzu, Kaunti ya Mombasa huko Nchini Kenya akikabiliwa na shtaka la ubakaji Aprili 7,2026 Matonya alishitakiwa kumuingilia kwa nguvu mwanamke mmoja aliyefichwa utambulisho wake na Mahakama (G.J) katika jengo la Josy Joka Apartment huko Nyari na Kuswekwa Lumande kwa kitambo kirefu kidogo Lakini kwa Neema za Mungu Matonya sasa yupo huru na atakuwepo kesho July 10 kwenye Miaka 30 ya Bongo fleva pale Mlimani city #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #matonya #eastafrica

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 07:19:52 GMT
117828
7332
67
65

Music

Download

Comments

user8471480671826
user8471480671826 :
Old is gold
2026-07-11 16:28:48
0
lulu47198
Lulu⚽⚽ :
Wooooo🔥🔥🔥🔥
2026-07-11 09:10:33
1
mohamed.mahmud.al8
Mohamed mahmud Ali :
Hawa ndio wale watu walio isahau Akhera Yao na wakaikumbatia Dunia .Allah awafanyie sahali kuwabadilisha mioyo Yao .tusemeni Ameen
2026-07-11 04:40:25
40
lovely.hope64
✨𝓐𝓷𝓰𝓮𝓵 𝓔𝔂𝓮𝓼🌸🤍🥰 :
My fav song🙌🥹
2026-07-11 15:43:30
4
lightnessjonhagid
lightness :
napenda hizi nyimbo balaa❤️
2026-07-11 14:14:39
15
user2921151816352
MaureentezV 🥰 :
Hadi nalia
2026-07-11 13:54:50
3
fanueldanieldanie1
fanueldanieldanie1 :
dah sema hili goma kajua namna ya kuliperform sana aise 🙌🙌🙌
2026-07-11 05:09:39
19
shelazy780
Shelazy Dugawala :
Tonya Time Yoh 🔥🔥💪
2026-07-09 22:57:29
0
123og2023
THE OG'S 254 :
kesi gani nzito?
2026-07-09 17:23:01
7
mkama.alipax7
Mkama Alipax :
kaka Tonya bii nomaaaaa sanaaa
2026-07-09 08:28:09
2
isher436
isher436 :
Niko hapa Aisha
2026-07-11 05:04:31
0
nasmoh77
Nasmoh! :
song performed so well
2026-07-11 05:49:48
3
misstee30
Tee🌸 :
Babes
2026-07-10 20:57:28
1
odriajoseph747
D charming🌹 :
jmn akiimbaa live ninzur jmn🥰
2026-07-11 07:39:49
2
user45467846
Jamal musialA :
Tonya times
2026-07-09 13:10:56
1
user2881745430675
muddy fashion killy :
unajua kak
2026-07-10 20:51:51
3
kulwahassan1483
Kulwa Hassan :
sawa Mzee baba umetisha
2026-07-11 09:00:47
0
taniby.simba.jean
Taniby Simba Jean :
nipe titre y'a nyimbo iyi
2026-07-11 07:21:46
0
its.me5752
S A U R A T Y🌸🍀🍂 :
old is gold🥰
2026-07-10 22:30:19
0
binno355
Mroma⚙️🔧 :
Tonya mbili
2026-07-10 15:59:38
0
gademitt
GADEMITT :
ata kiss na hug sipatiiii 👑GADEMITT💯
2026-07-12 21:10:13
0
keihmwanah
keih Mwanah@1 :
34$34
2026-07-11 05:21:02
0
user4466609694786
peterboy jr :
good
2026-07-11 03:09:33
0
calipto28
CALIPTO🌟 :
kesi ya unajisi
2026-07-11 04:48:57
0
djdjokavira3
djdjokavira3 :
nakumbuka mbali sana
2026-07-11 09:55:11
0
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About