@islamic_rihla: Uislamu unatufundisha kuheshimu faragha za watu. Kusikiliza mazungumzo ambayo wenyewe hawakukusudia uyasikie ni jambo linalohitaji tahadhari kubwa. Tujifunze kulinda masikio yetu na kuheshimu haki za wengine. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH DKT ISLAM MUHAMMAD 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US