wangu juzi complained mboga si tamu na ni kuku ya kienyeji nimenunua with my own money juu sikuweka spices nami sipendi spices Kwa kuku ya kienyeji, nilitulia tu but Jana amefika hakuna hata dalili ya kupika
2026-07-19 12:27:43
10
ruthkhayasimulongo :
kwa akina ndoa bila kiburi you can't survive 😂😂😂 niko tu kama huyu na nikimaliza kukula nakunywa maji nakuosha vyombo
2026-07-19 14:38:25
3
Kevin :
Kwani hizi ndoa zinakaanga aje. 🤣🤣 Importance ya marriage ni gani.
2026-07-14 22:18:28
25
Can :
mimi naye huniambi hivo kwa nyumba yangu, mwanaume aheshimiwe... pack and go
2026-07-19 16:27:35
0
milkah_george :
nisikuone apa was my response too,🤣🤣🤣I think am toxic
2026-07-09 22:38:09
37
Sabi girl❤️😩 :
Mtu anaeza dhani ni content 😂
2026-07-10 13:18:19
23
vocalist assassin :
yaani utoe dem kwao then akumistreat kwako noma sana
2026-07-19 13:21:12
1
Kyle Walker :
Huyu ni mluhya
2026-07-18 15:28:44
2
maragoli queen 👑 :
niukweli ijahiva inamoshi🍲
2026-07-18 21:21:39
0
Austine Okoth :
Na Anyuola wananilazimisha nioe😂😂
2026-07-18 22:13:34
1
C.E.O Pi Group :
nilikuwa nioe kesho lkn nimechange mind 😂😂😂😂
2026-07-11 19:32:18
11
not realy :
guys izi viombo ni funny sanaaaa...
2026-07-18 16:46:12
3
Robert kosgei(kipyegon) :
hii ni type yangu sasa
2026-07-11 13:27:48
8
Daniellahgyal dem :
had missed you gal, you're such a Vibe
2026-07-10 13:10:55
6
Judith Wawire :
kweli haijaivaa
2026-07-10 11:15:40
5
🦋 Winnie 📌❤️🦋 :
sisi kamba ladies atupangwingwi😂😂😂😂😂
2026-07-18 21:10:03
2
Wobbly :
bro huna bibi hapo😅
2026-07-19 13:39:10
2
kindness🦋shii✨💘💍 :
kiburi yangu haiwezi niruhusu kuolewa😂😂😂😂😂
2026-07-19 14:27:27
0
sky walker :
mm pia sas natak kuoa ndio tugombane daily 😂😂
2026-07-15 06:24:13
2
To see more videos from user @wanjirajoyce01, please go to the Tikwm
homepage.