@bondeicon_brand: Bondia Kutokea Tanzania Ibrahim Classic amekataa kuwa Bondia Hassan Mwakinyo sio Bora kwa hapa Tanzania ila kwao Tanga ndio Bora... Ameendeleea kushikilia kuwa Mwakinyo ni mtu wa Majungu na sio mpiganaji bora kama watu wanavyosema... Je, Unakubaliana nae??? #ibrahimclass #mwakinyo #boxing🥊
nilikuwa nakukubali sana lkn kwa chuki hizo huna mpango
2026-07-10 20:53:19
70
Abubakari :
mwakinyo ndiyo namba 1
2026-07-10 08:45:47
81
user3121414056062 :
mwakinyoooooooooooooo 1
2026-07-09 14:24:43
33
fundi furniture :
mwakinyo ndio no1 ila nyinyi mnachuki
2026-07-26 14:55:40
60
Tok master :
Kama unaamini MWAKINYO ndio Tanzania One like apa
2026-07-22 10:47:56
129
Daud kindi :
Hasad nimaradhi mabaya sana
2026-07-10 13:56:24
28
Hosea Haonga :
omba nae pambano maneno mengi ya nini
2026-07-10 17:09:24
36
VUGIRI ONE :
Kwa ujinga huu tanzania hatuwezi kufika popote kama unashindwa kumheshimu bondia mwenzio tena alie pambana mapambano makubwa nje ya nchi na ameshinda ingawa amepoteza mapambano kadhaa!kwanini hamueshimiani?
2026-07-27 14:53:18
16
Asha Matty :
Hassan mwakinyo tz one team mwakinyo hap
2026-07-27 09:16:13
80
Ramadhan Iddy :
acheni chuki maboy ah awezi badilika jina namba 1 ni mmoja tu HASSAN MWAKINYO bac
Hamna kisomi acheni chuki Hassan mwakinyo atabaki kuwa champion wa inchi kwa sasa mkubali mkatae ..mabondia wengi Tanzania ni wazuri sana kwenye boxing 🥊..ila mwakinyo apewe pia heshima yake…..
2026-07-30 20:50:09
10
modo classic :
chuki sio nzuri broo
2026-07-24 08:25:19
7
Abaa1538 :
mwakinyo apewe heshima yake
2026-08-01 18:20:06
6
Raymond saliboko :
huna kitu broo mwakinyooo super sana
2026-07-11 18:21:17
9
Habeeb Mughayyar El bouhury :
Huyu nae ndio nani?
2026-07-11 13:38:34
7
Prince Charles II :
Wanaomkubali Mwakinyo kuwa ni Tz one kwenye Boxing gonga like hapa 💖👍
2026-08-03 10:40:21
10
Traveller +255 :
Hivi bro huwezi tengeneza brand yako bila kuharibu ya mwingine
2026-07-27 06:15:09
8
Mwishehe Ally :
bondia Bora kwa Sasa Tanzania ni ibrahimu
2026-07-09 14:21:24
34
Africa :
mwakinyo hamna kitu classic namba 1 mzee
2026-07-10 08:18:41
69
Ndolo Khalfan :
sisi.mashabiki ndio tunajua nani bora
2026-07-10 08:23:16
11
Makoye Elikana :
mwakinyo ndo namba 1 by 👑👑 king makoye matinted in mwanza city
2026-07-10 16:30:31
6
mamu BIZZ :
kwani nani huyu???
2026-07-10 16:44:15
14
To see more videos from user @bondeicon_brand, please go to the Tikwm
homepage.