mimi nawaga vitu ambavyo havipo au nageuza vitu vilivyopita nafananisha na vyangu au muvi kuiwaza kama muhusika harafu inanichukulia mda mrefu shida nin bro.
2026-07-16 15:53:34
2
sniper 💥 :
Asante
2026-07-10 12:06:29
0
Mary norasco :
hiyo kitu kaka ipo kwangu lkin nkiwaza kitu hakitokei nfano ntapata hela nkishawaza tyu hakitojri, WHY?
2026-07-09 09:15:21
1
aminamoqsin :
nimekuelewa sana kwahiyo tunaweza kuvishinda uadui kwa kujielewa nguvu
2026-07-11 05:39:40
0
To see more videos from user @nguvuyarohoakili, please go to the Tikwm
homepage.