@jmtv_tz: Mwandishi na mchambuzi wa habari za michezo kutoka wasafi fm @yusuphmkule 📽 CC @wasafifm #mpwagejulius #JMTV #mpwagedigital

JMTV
JMTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 09:11:04 GMT
48100
4180
101
95

Music

Download

Comments

sophia.john1
Dineyfa fashion store👗👠👖👕 :
me mtu akiwa anamsifia messi tu lazima nimfollow😂😂😂
2026-07-10 06:49:49
122
mzawa.dac
mstaafu :
Ronaldo mwenye akiwa mazoezin anajiita mess
2026-07-09 22:30:50
106
ramah_sana
ramah_sana :
2014 world cup hukuwa namacho wew
2026-07-10 04:58:48
12
nurdeen855
Breezy :
kaka Kwan 2011/2012 ulikwa unaangalia Tenes
2026-07-09 22:37:00
26
ambakabigi
ambakabigi :
mimi fainali ya uefa kati ya baca na man u 2010 ndo nilijua mesi sio binadam wa kawaida
2026-07-09 22:35:40
24
littlemessi65
lapulga :
lapulga for life 💪💪💪
2026-07-09 21:16:25
3
david.juma94
David Juma :
Kwani wewe umeona Messi juzi jamani,, Messi akiwa 20s alikuwa stima nani
2026-07-10 08:45:18
1
dallasofficial7
max :
Nenda kamuangalie Messi mwenye miaka 23 adi 27 apo ndo utajua kua Messi sio binadamu
2026-07-09 19:19:57
13
legendsrewinds
LegendsRewinds :
tatizo ulianza kushabikia mpira wakati messi yupo psg
2026-07-10 08:44:16
8
taisondinatai
taisondinatai :
daah umechelewa sana kujua pole sanaaaa
2026-07-10 08:01:48
7
king_z077
Kenny :
mimi nilikua shabiki mkubwa wa Ronaldo ..ila kombe la dunia la Qatar lilifanya nimkubali Messi na kuanzia hapo nikawa moja ya mashabiki zake wakubwa na nilianza kumfatilia ...kwasababu kabla siku namkubali tena sana
2026-07-10 03:52:09
8
user7702500216932
@benjaminimwalimu3gml. :
kweli messi ni hatar sana
2026-07-09 12:15:36
9
job.mapesa.tz
Job Mapesa Tz :
umechelew sana. kumjuaaaa
2026-07-10 07:47:31
3
user5088834010104
karisto10 :
kaka umechelewa sana kugundua hilo swala pole sana
2026-07-10 05:54:57
4
thomaswambui632
T,n,w :
pole sana coz umechelewa ungemuona akiwa barca acha 2
2026-07-10 05:03:05
6
20nald20
Don :
basiiii umechelewa sana
2026-07-10 04:23:57
2
first_born10
#KエNG_SULƸ̵̡└|👑💥🤍 :
ni kweli nimeenda kuangalia bhana
2026-07-10 03:55:29
2
jinnan35
Ally jinnan35 :
messiii🔥🔥🔥
2026-07-09 22:29:40
3
ivan.yahya1
Ivan yahya :
messi ni jeshi la mtu mmoja 💪🔥
2026-07-10 03:35:47
2
edsonkayombo666_
EddyWilfkayombo🥚🐓🇹🇿🇹🇿 :
sawa
2026-07-09 09:26:36
2
juhaina184
juhaina :
uhakikaaaaa messi ni goat🥰
2026-07-10 16:53:04
0
hongoa.issa
Hongoa Issa :
mashabiki wa mzee Ronaldo hawawezi elewa
2026-07-10 17:40:04
0
lucky.gb6
Lucky Gb :
naku follow now
2026-07-10 15:13:30
0
jacob.masalu.jose
JACOB MASALU JOSEPH :
kweli kabisa
2026-07-10 14:16:58
0
elipidiuskaihula
PdkOfficial :
uko sahihi
2026-07-10 01:51:57
0
To see more videos from user @jmtv_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About