Kuna bank inalipa 2375 kwa account na haina mshahara siku 2 tu nikaacha 😭
2026-07-10 06:29:15
17
Mrs ❤️💍 :
😂😂😂 Mi million 60 kwa mwezi na naelekea mwaka sijawai fika naishia 40🥹🙌
2026-07-09 11:45:17
10
ms_edith11🇹🇿🇺🇸 :
Hii kazi ilinipa confidence ya kujieleza mbele ya watu na kuwapa elimu sijapoteza kitu ila niliacha mwenyewe bila kupenda 😅
2026-07-11 17:07:33
8
Negress Kilima112 :
Mungu kaamua kutuadhibu et 😂😂😂😂 haya bwana karibuni viwanja
2026-07-17 10:15:22
1
kagoa14🌾🧅 :
Nahitaji mtu wa sales🙏
2026-07-11 15:52:09
2
rey brandy# :
kwangu target milioni 80 kwa mwezi mshahara elfu 70 eeeh Mungu nijaalie nipate ata hela ya msingi nifanye biashara ata ya matunda kuajiliwa huzuni wallah🫠🤕😭
2026-07-19 17:46:20
0
Kaka_Mchoraji😇 :
Njoo nikupe tips😊
2026-07-11 19:37:18
1
KARIAKOO PLAZA 🛍 :
mnaongelea nini
2026-07-10 12:55:56
1
Miss amaizing used spare parts :
Kazi ni kuongea tuu
2026-07-09 14:36:23
2
ELISHA MASATU :
nikajuwa Mimi tuu kumbe tuko wengi
2026-07-20 19:32:50
0
I&mcourier Transporter :
😂😂😂😂😂 Kaka kuna sehem nili fanya kaz salary 300k target 500M noma sana
2026-07-19 02:42:15
1
user80343094046394 :
Target milion 280 mshahara 500000 bado natumiwa
2026-07-17 12:42:26
0
Tanzania chamber of mechanics :
umenigusa😁
2026-07-11 15:18:50
0
eusebymichael :
Enhe kwenye hiyo 200m unataka upewe ngapi mkuu? 😂😂😂
2026-07-10 08:58:29
0
samstore_tz :
ni mbaya
2026-07-11 20:16:48
1
Sadam Jummah :
Ila kwann atuachi kazi ???
2026-07-10 12:43:53
1
homeboy :
nilifanya kazi miezi sita sikufika sales target hahaha nikaacha mwenyewe
2026-07-09 10:56:17
4
Andrew Big :
ndomaana naonaga ni Bora nifanye kazi zangu siku mshindo ukitiki faida ni yangu, hiyo kazi unapambania sana wengine
2026-07-10 12:27:50
3
mattykavishe :
Kuna watu wanaeza dhani ni meme😂😂
2026-07-10 08:33:03
1
unique 🍎 :
Niwaeleze juzi nilikosa 20ml🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-09 17:46:05
0
kwayu :
sales people inabidi wapate exposure potential kubwa nje kubali kulipwa kwa asilimia ya kila hela unayoingiza yani hata ukiambiwa target ni 200m upewe 5 percent ni 10m na hapo hamna cha kodi wala chochote maana sio mshahara