wew mganga kama waganga wengine mafanikio anatoa Allah usijifanye mungu mtuu
2026-07-10 07:22:41
1
Shusheii :
punguz sifa, baba
2026-07-10 17:57:57
3
twins of zanzibar :
sw baba
2026-07-29 17:30:14
0
Sheikh Said Salum :
Upuuzi
2026-07-10 10:46:39
1
user52873283362465 :
naomba nisaidie
2026-07-10 12:00:17
0
Doctor G :
wewe mwenyeo una story
2026-07-09 11:44:33
4
masmuha71 :
Ushirikina huo acha kujigamba hyo tiba ufanyayo unafanya kwa tamaa sio kwakusaidia watu maana unasisitiza kuwa hutaki story sijui hakuna tiba ya bure yani msisitizo wako ni wapesa….haifai jamano twapata dhambi kwann lakin tunamshirikisha mungu jamani vibaya qurani pekee ni dawa kubwa kwann mutumie vyungu je mungu ndivo alivosema hvyo Allah atuongoze sisi na vizazi vyetu ameen🤲🏽🤲🏽
2026-07-11 00:33:43
1
selemani666 :
pesa inaongea
2026-07-23 14:54:25
0
shsm saha :
gharama za kutengenezwa zipoje
2026-07-21 10:53:31
0
953538 :
haya doctor janabi😁🥰🥰
2026-07-10 03:16:24
1
Ahmed Iddy :
unaongea sanaaaaa
2026-07-13 14:58:03
0
Wazir@001🇹🇿 :
Usijikwez sana shekh kusem mm ndio bingwa wa tiba co sif ya muumn ila ni kujishusha na Mungu ndio anakukweza
2026-07-10 09:25:06
2
jeans Kali tz👖 :
muogope allah,hizo sifa zote ni za allah si zako,rudi kwa mola wako
2026-07-09 20:20:48
3
hafidh :
ujnga mtupu
2026-07-10 16:56:07
1
kjk mtt w masharubu :
ehh na ww mganga
2026-07-09 13:42:34
2
Hadid Hamad Hadid :
kaka Acha hizo fanya jambo kwa ajili ya Allah na ww umekuja pemba kutafuta maisha lakn kutakushinda huku
2026-07-13 09:00:54
0
MR!Shebbylee🖤 :
ww ushakosea mbka apo mtu anaetumia nguvu za mungu ajigambi na mtu mwenyee masharifu na marohani
2026-07-25 10:30:16
1
Saafir :
Tatizo sio ubakhili mkubwa, tatizo hela hatuna
2026-07-09 18:46:37
0
MAMBO SIRI :
Huna lolote
2026-07-10 05:11:15
2
nimubona :
twambuee bei mzee
2026-07-09 13:51:20
0
Zamzam :
soon kweli
2026-07-09 11:22:23
0
Jay :
Si km wabahili hatuna pesa na km mtu pesa anazo haina haj ya kuja kwako.
2026-07-26 19:05:40
1
To see more videos from user @mussaalawi.tiktok, please go to the Tikwm
homepage.