@drama__tz: Kwako Dada @maimarthajesse Kuna Nyakati Kuna Vitu Vya mitandao VINAUMIZA Hasa Pale Wanapo Kuingilia Katika Family Yako AU Damu Yako, HAKIKISHA UNAPOANDIKA HABARI ATLIST IWE NA UKWELI, NIKIWA KAMA BABA MTOTO HABARI YAKO IMENIUMIZA NINGEPENDA UIFUTE KWAN DAMU YA MTU HAICHEZEWI HASA KWENYE MITANDAO 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 @jumalokole_02 @chakubanga_original2
Dramatz
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 10:14:01 GMT
Music
Download
Comments
Rita beauty Point :
labda niwaulize nyie mnaocheka na kukomemt vby . Kwan uyo kaka ana kasoro gan. msijipe uumbaji.
2026-07-21 19:58:30
11
Rebel Queen :
Ila shuu huyo kaka wala hamuendani hata kidogo jamani
2026-07-21 11:36:11
13
glowcosmetics225 :
Namuelewa shuu kindaki ndaki
2026-07-21 19:37:45
5
Haruny :
daah shuu kajuwa kuumbuka walahi😂
2026-07-22 05:47:16
0
Jamaicanqeen0🇯🇲🇹🇿 :
usijali drama sisi tunajua mimba ni yako mkuu
2026-07-21 18:58:25
4
halwa972 :
Ila mashemej
2026-07-22 05:23:13
0
jackbaby :
Drama mzuri tuuu sema wabongo
2026-07-22 05:03:18
0
Allainaangel😘 :
Hata mm not ngekuwa shuuu
2026-07-22 05:08:04
0
Its ~Rukiah :
Oya Drama uyo mtoto ni wako mwanang
2026-07-22 04:37:09
0
FETTY LOLO 🌸💦 :
umeuwa baba Ilove it 🥰
2026-07-22 04:20:08
0
Sheila a :
Mtoto ni wako ata iweje
2026-07-22 03:02:48
0
Kebby Berry🍓 Store👠 :
Au AI
2026-07-22 00:21:40
0
Zahra :
Mashaallah
2026-07-15 04:29:54
2
Glow_Tz_Different items🥰 :
Nmeskia apo mwisho mtu wa Content nae😅😂michezo hii nshaijua
2026-07-16 09:54:31
1
shebby :
mashallah kk uoe uyoo
2026-07-12 09:22:14
0
sweet love ❤️ :
khaaaaa wanawake wanawake 😅😅😅😅
2026-07-21 17:27:19
0
LELUU BEAUTY🦋 :
shuu miye kukutetea siwezii wallah umeyamaliza yote wallah umemwambia mimba yake miye niseme nini 😂
2026-07-21 20:16:36
0
fififredwaa🥰🤓 :
we baba boy🤣
2026-07-21 20:20:06
0
sherrylove🥰❤️ :
mm naxhindwa kuelewa shuu jmn c kaxema kua mtt co wa huyu kaka ila wanawake tuna akili nyingi xana
2026-07-22 05:09:02
0
malisa🦋 :
Ila shuu nae ana sura ya baba 🙌😂
2026-07-21 20:55:29
0
~she~is~sarah 🥰 :
Ila wanawake tunahuruma Asa shuu nae 😂😂😂😂😂loooh
2026-07-21 00:07:39
1
essy Thadey :
Shuu mkavu kama wanaume nmempenda bure
2026-07-21 16:32:48
1
HammyMage :
😁😁😁
2026-07-14 20:14:21
1
cholo brown :
🤟🤟🤟
2026-07-10 13:09:32
0
To see more videos from user @drama__tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.