Wameanza Kugawanyika mda Ambao Tunawaitaji sana wote kwaujumla
2026-07-10 10:28:01
0
am14578 :
Heche aeleze shilingi ngapi alipokea cash au akaunti binafsi ya simu au benki michango ya chama na shilingi ngapi aliwakilisha akaunti ya chama baada ya kupokea cash,au kwa simu au akaunti benki
2026-07-12 13:30:52
0
musasamweli600 :
pamoja sana
2026-07-12 20:00:33
0
user4185044194534 :
Hao wenye Kukengeuka wajue :- Watalia kilio cha Kijana Mfiwa wa Mchina = 《 Nashindwa Kuelewa 》!!!
2026-07-14 11:01:03
0
user57137683253277 :
una ushauri mzuri
2026-07-13 15:35:48
0
glorytogod915 :
Kwann unatuambia haya.
2026-07-14 05:00:04
0
ummychipanga :
hawataweza kwA jina la mungu
2026-07-09 15:51:48
0
To see more videos from user @mjadalatv, please go to the Tikwm
homepage.