@mf.ra:

ириска
ириска
Open In TikTok:
Region: PL
Thursday 09 July 2026 10:39:05 GMT
141342
11473
59
257

Music

Download

Comments

forbes903
SpectacleCat :
Старые тренды возвращаются😏
2026-07-18 20:07:22
50
pretty59610
kittwixs💫 :
как сделать причёску как у чёрной
2026-07-17 16:23:27
14
wiki_angela
Wiki :
темненькая вообще шикарна
2026-07-18 19:37:00
2
user66773493303078
<3🎀 :
вы красотки 🥰
2026-07-22 08:04:56
0
nikt0_0002
M a L o Y ? :
Это Ташкент?
2026-07-10 10:19:56
11
realmadrid19990915
Real Madred 19990915 :
2026-07-19 14:17:11
0
arturlegen.pl
artur legendA.PL :
вы красотки 👍🤗
2026-07-20 11:39:13
0
kasym.ibragimow
Amway pradukts :
какие они красивые 😁👍
2026-07-17 18:49:05
1
wiktorlulkiewicz
Wiktor :
Красоткі 😍❤️
2026-07-19 16:26:20
0
razmik644
Raz :
2026-07-20 00:33:36
0
lubas282
Люба♡ :
вай какие
2026-07-18 10:41:50
1
daria2747
Daria :
красотка
2026-07-09 10:41:08
1
bota0680
Bota :
Әдемі
2026-07-19 09:08:22
0
user8734887500787
Микита Білоус :
красотка
2026-07-18 20:53:16
0
savvcold
🥱 :
2026-07-12 04:44:43
0
To see more videos from user @mf.ra, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Nashindwa Kuelewaa .. Nimejiuliza tu Kama Mwananchi wa Kawaida... Kwa nini Tume ya Uchunguzi haikuundwa kabla ya maamuzi dhidi ya Sheikh Walid na wenzie ?! baada ya Wananchi kupiga sana kelele ndio iundwe tume , au Maamuzi yalikuwa ya kimihemko?!  Ndugu Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), kwa heshima kubwa nawaandikia nikisukumwa na maswali yanayoibuliwa na sehemu ya wananchi kufuatia hatua zilizochukuliwa katika suala la Sheikh Walid na wenzie kiukweli haiingii kabisa akilini ... Kwahio Baada ya maamuzi kutolewa, baadaye ikatangazwa kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi? tena ishapita week sijui na mmemkabidhisha kabisa Ofisi mtu mpya au sio ?!  Hapa ndipo swali la msingi linapojitokeza kwangu nimefikiria kwa sauti sana ..  Iwapo kulikuwa na ulazima wa kuunda Tume ya Uchunguzi, kwa nini haikuundwa tangu mwanzo kabla ya kufikia maamuzi?  Je, isingekuwa busara zaidi kwanza kuchunguza kwa kina, kusikiliza pande zote na kukusanya taarifa muhimu ndipo maamuzi yafanywe? Maswali haya hayalengi kupinga mamlaka ya taasisi, bali yanatafuta uwazi na uwajibikaji. Tunaiomba BAKWATA itoe maelezo ya wazi ili kuondoa sintofahamu, kuimarisha imani ya waumini, na kuonyesha dhamira ya kusimamia haki na uwazi kwa vitendo. Wenu katika kutafuta uwazi na haki., tujadili jaman labda nyie mnajua zaid  Sema Sheikh Walid ana watu na ana Mungu sana Kwetu sisi wakristo kuna mstari wa Biblia unasema hivi .. “Msiogope; simameni imara, mkaone wokovu wa BWANA atakaowatendea leo… BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.” — Kutoka 14:13–14

About