Katika Watu Wanaojua Kufundisha Keyboard,Wewe Ni Mwalimu Bora Sana
2026-07-10 05:59:40
3
official samstrings :
kaka tunakuelewa sana
2026-07-15 14:25:42
1
MC MKALI :
we ni mwalim sana broo, endelea sn
2026-07-11 10:38:23
1
ntezy :
Kk zidi kutufunza
2026-07-10 17:57:44
1
Daniel Sarr :
video 5 please
2026-07-09 11:13:39
1
good 👍 :
👍👍👍👍👍👍👍uko vema
2026-07-09 15:18:06
1
Copa Subuya :
Nakubali sana mkubwa.
2026-07-09 19:24:59
1
user2822634941762 :
mkuu umetisga
2026-07-14 12:16:15
1
Respicius Ludege :
asante sana kaka
2026-07-14 18:21:45
1
Tivo Bike :
safi sana kaka napenda sana kinanda
2026-07-10 13:26:28
0
@Bozzy_08 :
Duuuh tunakuelw kwel Kaka Alf ukimalz kufundish kk weka na nyimb tufanyie practical kk
2026-07-10 16:05:41
0
Tony :
Asante sana kaka somo zuri sana hilo
2026-07-16 05:44:43
1
Temba JR :
iyo midi piano inapatikanaje mkuu
2026-07-09 12:55:01
1
Bossdullahtz :
ukirudia rudia maelezo unachanganya
2026-07-09 14:05:28
1
Fidel Gabriel (MoLM)🎙️ :
aisee hii kitu ilikuwa inanichanganyaa🤭🤭 nikajua mziki wetu wa kikatoliki ni tofauti,,
ila Sasa hapo nimekuelewa mkuu,
kumbe ni matter ya kuangalia either unarudi nyuma au unaenda mbele ili kujua ni wakati Gani batani nyeusi tuziite sharp au flat
2026-07-16 22:24:52
1
wiz jay :
kaka maelezo mbn kam yanajirudia yan video moja maelezo unayoanza nayo ndo hayo tena yanajirudia katikat y video jaribu kurekebsha tuko nje ya wakat,kama ulichokusudia kufundisha kimeisha haina hja clip iwe ndefu
2026-07-09 12:44:44
1
OM VISION :
piano gani iyo alaf bei gan
2026-07-10 17:01:20
0
campun :
asante kaka
2026-07-17 11:56:07
1
official samstrings :
tuwaambie piah kaka ,je tunaweza pata vinanda vidogo vya kujifunzia na vya aina gan kwa sisi wenye uwezo mdogo
2026-07-15 14:27:26
1
Matendomgm :
2026-07-17 03:03:13
1
SUMA SMART :
maelezo kibao vurugu 2
2026-07-10 06:07:15
0
mwangangi mmanda :
nmekuelewa sana
2026-07-10 03:48:34
0
bridden :
ya sita na kuendelea kaka
2026-07-09 16:02:25
0
✦✪ Hansy talent WamiliO ✪✦😎 :
🔥
2026-07-10 08:20:26
0
To see more videos from user @pianist.class, please go to the Tikwm
homepage.