@bakary_journal: Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman amesecha chama kitatanguliza maslahi ya nchi na wananchi na sio maslahi binafsi. Hayo amesema ikulu ya Zanzibar wakati wa utiaji wa saini tamko la pamoja kati ya ACT NA CCM #tanzaniatiktok #zanzibartiktok #kenyantiktok #ugandatiktok #foryoupage #fyp #viralvideo #fypシ