@stanley_marketing: #uzi37 Akili na moyo vinagoma kabisa kuamini kuwa Ronaldo sitomuona tena akiwa na jersey ya ureno🥺🥺, nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba kuna GOAT mwengine tofauti na Cristiano Ronaldo Aviero Dosantos💼. Huyu ni zaidi ya kiumbe kutokea kwenye dunia ya football. Lakini pia kama unataka kuwa na personal brand bora yaangalie maisha ya ronaldo kwa jicho la nne. Tag shabiki wa Ronaldo kindakitandi unayetamani aulambe uzi huu🔥🔥🔥🔥🙌🏻 🎥: @lumamarketing_tz @godfrey_mindset Editing: @lumamarketing_tz Light: @barakagadgets__tz #ronaldo #personalbranding #portugal #csr
stanley_Marketing
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 12:40:42 GMT
Music
Download
Comments
shomy :
the goats Ronald
2026-07-10 12:14:50
0
GAVIN :
Ronaldo is the best
2026-07-09 17:57:48
0
ima_obaah :
GREAT RONALDO.
2026-07-10 11:51:51
0
user9696382765584 :
respect broo
2026-07-10 11:47:54
1
S-bro Reagan :
GOAT MY KING RONALDO CR7🙏
2026-07-09 21:01:17
2
Laurajunior :
soka imemkubali mess ila dunia imemkubali ronad
2026-07-09 17:45:01
42
amigo of wallstreets 📈 :
messi anatuaminisha kwamba talent can work without gym😂
2026-07-09 15:06:34
26
*Jay_moeh🦨 :
Wote tunao mkubali CR7 like hpa
2026-07-10 13:48:21
11
COLD LIKE TZ ❄️🇹🇿 :
Messi is better than Ronaldo bro
2026-07-09 18:20:41
8
Mussa Zed :
M team mess ila nmekukubali
2026-07-09 15:50:54
6
popsouljimmy :
umeshindwa kujifunza kutoka kwa wengine kama akina haland na mbape
2026-07-10 09:45:27
2
Isack 💫💫💥🌠 :
Hana kombe la Dunia hiyo ndo tofauti
2026-07-09 19:34:59
2
willibert :
Kaka unajieleza sana hayo mambo ninje ya uwanja haya tuhusu
2026-07-09 14:37:26
3
hakijr44 :
ronado 🐐
2026-07-10 12:39:31
2
Yuzo YM :
Kiukwel kaka Ronaldo sio mpira tu hata real life 🧬
2026-07-10 12:33:34
3
Ally Kasti Adam :
hayo yako ila sisi ni watu wa mpira tuko na messi hayo mengine sisi hatujui
2026-07-09 19:02:55
6
I'm_Ivan08 :
Hiyo inatufundisha maisha kuwa na mafanikio sio lazima uwe na kitu flani, ila mafanikio ni kuridhika na kile Mungu amekubariki
2026-07-10 07:54:07
6
e.movie :
yote hayo yanakusaidiaaa nn wewe
2026-07-09 20:22:05
0
CRZ :
kweli kabisa ao mbuzi kama messi uyo
2026-07-10 17:39:17
1
cray beby :
nakubali suuuuuuuuuuuh!!!
2026-07-09 17:55:12
1
masofa empire :
hata mimi Kuna mda natembea njian nakuwa nawaza Yan siamin amin
2026-07-09 22:57:01
2
NAVASSS :
CR7
2026-07-09 17:49:07
1
ngete jr :
kwasababu ya Ronaldo ngoja niku follow
2026-07-09 22:19:08
1
To see more videos from user @stanley_marketing, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.