@thefunded.tz: Mafanikio hayaji kwa bahati. Yanatokana na tabia unazorudia kila siku. Badala ya kusubiri muda “sahihi”, anza kujenga msingi wako leo. Hizi ni tabia 4 zinazoweza kubadilisha maisha yako: Jifunze skill zenye thamani Simamia fedha zako kwa nidhamu Jenga network yenye manufaa Wekeza kidogo kidogo, lakini kwa consistency Usilenge kuonekana tajiri leo. Lenga kujenga maisha yenye uhuru wa kifedha kesho.