@jukwaa.la.maarifa: Sheikh Dkt Abdulrazak Amir Ametoa Elimu Juu Ya Mke Kutopostiwa Katika Mitandao ya Kijamii Sababu Kumpost Mke Status si Njia Sahii Ya Kuonyesha Upendo Kwa Mke Kumpost Mke Katika Mitandao ya Kijamii Ni Sawa Na Kumuanika Mke Wake ili Watu Waweze Kumuona Sheikh Dkt Abdulrazak Amir Amesema Kuna Namna Tofauti Tofauti za Kuweza Kuonyesha Mapenzi Na Si Kumpost Katika Mitandao Ya Kijamii