Nakumbuka mwaka 2016 niliitwa na bibi yangu kijijini Kigoma aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"😁😎
2026-07-10 01:52:29
89
cute lips :
had mwil umesisimka jmn🥰
2026-07-10 07:45:39
74
raphywillmakeit :
Uyu Kamanda
2026-07-10 06:35:43
38
big dully :
dada mwaaa unajua mpaka machozi yametoka
2026-07-09 21:28:56
36
𝐎𝐍𝐄 𝐌𝐈𝐋𝐈𝐎𝐍 :
ameimba vizuri ngojanikitoka chooni nitamfolow
2026-07-10 07:11:06
33
Saluka :
sister duu wa zaman
2026-07-10 05:52:47
28
Syeya paul14 :
weee dada unajiamulia mamb tutakfatilia
2026-07-10 02:57:29
17
ismah_nzivu :
twende nalo😂😂
2026-07-10 08:59:09
14
Irene Maro🇺🇲27 :
Wajina anajua bhn🥰🥰🥰
2026-07-09 13:24:14
12
faraj ali :
mwenye nyimbo alikuwa ni mumewe😅😂
2026-07-10 12:10:02
11
mbaombaophotos :
nimependa viatu vya airini
2026-07-10 03:51:24
9
SAVIMBI :
watt wa elfu mbili wana mjua mama amina akisema weee Uuuumaaa niniii
2026-07-10 14:31:06
9
user1843195770540 :
uko vizuri dada unajua
2026-07-09 22:52:47
7
✌️ ❤️ :
Nimemfurahia sana..
2026-07-10 09:52:26
7
Symo_Sych :
real Bongo flava
2026-07-10 05:06:40
7
mjomba38 :
uko juu my sister
2026-07-10 04:05:25
7
AngelCarista Fridah Nelson :
unyama mwingi mwenetu
2026-07-10 14:52:22
6
CHIBU :
uyu muhenga mwenzangu🔥
2026-07-10 11:11:36
6
Amry Juma :
kumbe ww wazaman dada
2026-07-10 07:18:36
6
To see more videos from user @mcmtamahofficial, please go to the Tikwm
homepage.