asallam alleikum. ni njia nzuri na inafanya Kaz ila kwa mwenye Hana jini mchafu mwilini Wala uchawi mwilini Wala vifungo. mwili ulio na majini wachafu Wala uchawi rohani Huwa hakai
2026-07-09 14:54:18
22
zaitun :
mimi nmebeua na nmepga miayo na mwili imesisimuka vote kwa pamoja na hii ikoje
2026-09-03 05:24:19
1
jojo :
Mbona nimeshika sikio ulivyosema nikaanza kusema Jina la mungu😳 niko napiga myayuu Ata sijaongea chochotte. Ata sielewi Rohani ni nini?? Niambie
2026-08-08 20:48:01
7
A4 :
mimi natoa miayo
2026-07-10 05:44:34
6
Ellysamcute💞💞 :
m nmepig miayo ngoj nione kam ombi lang litatimia kam litatimia ntakuja kutoa ushuhuda🤣🤣🤣
2026-08-30 07:57:23
2
Alain kD :
rohani ni nini
2026-07-09 22:43:33
9
🇹🇿28/𝙰𝚘𝚞̂𝚝 🤦🇨🇲 :
Allah atuongoze kwenye njia ya kunyohoka amiin 🤲
2026-07-10 15:33:04
6
maya :
hii sio shirki jamani
2026-08-11 17:32:21
0
Golden Era Queen ✨️ :
upande wangu wa kulia kifua umecheza
2026-08-18 23:10:39
1
Mrs T🥰 :
🙆jaman itakuaje nimeomba nimuone na nimepiga miayo😬😬
2026-08-09 13:06:27
3
HAPSA IZUVA :
Kama hayupo utamrudishaje, pia shekhe mambo gani unaweza kumwambia ruhani wako tuambie please.
2026-08-02 18:38:31
1
AIR SOLDIER :
nahitaji kujifunza zaidi
2026-08-02 21:39:38
1
Irene @@ :
duuuh nachokaaa
2026-08-05 17:37:15
1
user2759276612868 :
sheikh nashukuru nimepata majibu uliyosema
2026-07-10 15:07:17
5
S A N K O :
me nataka njian ya kuongea na mungu
2026-08-15 20:04:53
1
Youssoufu Tamako :
naitika sheikh wakati mingi nika faha zikr niko na beuwa
2026-08-01 20:23:44
1
mohamedjr :
nimefany imenijia miayo mingi tu mda huu ucku
2026-07-14 22:12:57
0
fils :
wewe minakwamini
2026-07-28 22:03:09
1
fatma belei💖 :
mi nilifanya lkn nilipiga chafya lkn nilipat pesa
2026-08-09 19:06:33
2
MATA ♏ :
naona kila post ruhani jmn mm nipo fresh😳😏🥺
2026-08-10 21:36:31
1
KING DI~09 :
unanipigiasha miayo hapa hatar
2026-08-11 17:18:57
1
Baby Cecil :
akuna kitu kupotoxhana tu
2026-07-15 20:35:33
0
chunya boy :
mm nimepga miyo
2026-07-10 23:59:56
4
Halima Halima :
asnt sana!! nimesisimka
2026-07-10 19:00:24
1
To see more videos from user @ibunkitenge, please go to the Tikwm
homepage.