@cosmas_women_clinic: Hizi ndio Dawa aina Tatu za kutibu changamoto za PID, kutokwa na uchafu & harufu mbaya uke’ni . . #afyayauzazi #goviral #viral #foryou #tanzania

cosmas_women_clinic
cosmas_women_clinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 14:20:00 GMT
98244
2642
89
251

Music

Download

Comments

mamaclamjunior
mama mashuka :
nimetumia zote zaid ya mara 10 lakin wap yan pid ni ugonjwa wa taifaaaaaaaaa
2026-08-08 12:51:39
11
user44525810137321
Salmini :
ungonjwa huu unanisumbua sana
2026-08-05 16:48:38
7
joyokombo3
Mylene :
ukweli im using them now for two days naona nafuu
2026-08-05 06:05:03
2
jr175585
Jr🦋 :
Yaani huu ugonjwa nimechoka
2026-08-05 11:02:21
1
dorcusronji
Dorcus Ronji :
ukiwa na unawashwa?
2026-08-07 13:03:40
0
blandinaemanueli04
blandinaemanueli :
doctor Mimi nikingia piriod naumwa tumbo mpka masikio yanaziba daw yake ni nini
2026-08-14 13:47:42
1
user4829515272830
komba :
mm ninashida wewe kaka nisaidie
2026-08-03 19:58:28
0
user6220427096540
jackline :
duuuh me hata sielewi
2026-08-05 18:27:02
0
tatu.abu
tatu abu :
niko nashida nifanya tendo landoa damu hutoka
2026-09-03 15:13:11
0
user2683472712857
kaquit kaa mum :
naombaunisaidiye na number yako
2026-08-20 17:33:03
0
lovielovielove
Lovie lovie Love :
na mm UTI inanisumbua sana nmetibiwa bado inarudi
2026-09-13 11:08:06
2
da.mtu6
❣️💯💯damii💯💯❣️ :
cerviticits jee dawa yake ni ipi haswa
2026-08-07 11:42:17
0
esneth.stephano
Esneth Stephano :
yaan me sielew kwakwel natumia lkn wap
2026-08-13 09:25:21
1
sofia.hamisi17
Sofia Hamisi :
mm pia napitia
2026-08-05 14:50:24
0
tunutembo208
T :
hata mm nina tatizo
2026-08-05 18:19:07
0
felistakelvin
fely :
Dr hivi unawezaa kutumia doxc na metronidazol kwa wakati mmoja
2026-08-05 11:17:38
0
user4322149983150
D cute💘💘 :
natumia moja kati ya izo au zote
2026-08-05 13:06:30
0
bushuramohamedi
bushuramohammed33 :
unatumiaji
2026-08-14 11:37:17
0
user359187973531
sabrina :
dokta nipe namba yako
2026-08-03 07:53:05
0
cute.tuma83
Cute Tuma :
nishakula nyingi sana izo
2026-08-12 09:18:22
0
user557880059592507
user5578800595925neyiiii :
jaman na mm unanisumbua natafuta mtoto sipati
2026-08-06 07:10:55
0
nahnatiy
Mina :
UTI je?
2026-08-14 13:05:16
0
mama.girls4654
mama girls :
what about for UTI sugu please
2026-08-16 06:29:34
0
mayasajamari
mayasajamari :
unapatikana wap
2026-08-12 07:19:57
0
faizagirl07
faiza :
kuumwa na kiuno sana na bafo period inakuja twice pet month hiyo ni nn
2026-08-12 06:58:27
0
To see more videos from user @cosmas_women_clinic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About