@akhi_ali5: Ijumaa ya leo, Nataka nikuambie usikate tamaa kwa dua unazozirudia kila siku. Mwenyezi Mungu haweki ombi ndani ya moyo wako bure. Endelea kumuomba kwa yakini na subira, kwani kila kilichoandikwa kwa ajili yako kitakufikia kwa wakati Wake mkamilifu. Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi, akubali dua zetu, na atujalie yaliyo bora duniani na Akhera. Aamiin. #creatorsearchinsights #viralvideo #jummamubarak