skauti Mmoja alikuwa class mate wangu Sasa kweny talent show aliwah kukalia panga,,,bas kila paper alikuwa akifel anaenda kupigiwa assemble walimu utaskia "hay wew kazi kukalia mapanga tu kichwani kumejaa povu"
2026-07-09 21:25:54
286
@TchugaTravels_safari :
Shockups😅
2026-07-10 10:32:44
0
Birry :
hapo kwenye scout naomba nijipakulie minyama, Mji Mpya sec Moro town 2012-2015 nilikuwa scout, nakumbuka nilifuatwa sana na walimu niachane na hicho chama wakidai nitafeli, niliwaahidi nitawashangaza Kwa mara ya kwanza, of course kati ya wanafunzi 260 darasan sikuwahi kutoka top 10 ikiwemo tuzo Bora ya wanafunzi wawili tu waliopiga A form two NECTA 2013 ..Form iv nikapiga Two yangu kalii nikiwa na Skafu shingoni 2015 mpaka Sasa bado ni Scout na ni Bachelor Degree holder in Environmental science GPA 3.8 ,,,mwisho naomba scout popote ulipo isikatishwe tamaa inawezekana ni kuamua tu 👊🫡
2026-07-10 04:18:09
46
Ruty :
mkuu wa majeshi apa😅😅
2026-07-09 21:14:12
32
Mercy Lesilwa :
Ila hapo kwa viongozi wa chakula sio wote jamani😂
2026-07-09 14:59:23
111
Ryl_roy💕 :
mabishoo bro
2026-07-09 20:55:14
2
Kelvin Tizzo :
walio kula wababe kama mimi ngonga like
2026-07-10 06:34:37
12
ms.fatmah :
we nifurahishi ntaalike video zote aya😁
2026-07-09 17:40:41
1
bridden :
its true broo 😁
2026-07-09 15:18:49
0
Rose Kim :
Imebid nikifollow 😂😂
2026-07-09 15:19:15
1
Eva :
si timekeeper wetu alikuwa genius sema huko kwingine hujakosea
2026-07-09 21:02:38
15
Juse Jr :
hapo kw skaut perfect
2026-07-09 20:54:48
33
pretty neilory :
nakupendaa mkuu wa majeshii❤️❤️
2026-07-10 05:38:24
0
chidymchizi26 :
20/20 nalipa
2026-07-10 07:34:20
0
shariboy tz :
nyimbo ya wababe hinaitwaje hyo
2026-07-09 15:50:56
7
MTG😎 :
mkuu wa majeshii😂😂😂
2026-07-09 20:50:48
10
dj pulus :
scout
2026-07-09 15:51:48
5
Khuli❤️🩹 :
😂😂😂Always wanifanyg nichek mweny kam chiz
2026-07-09 15:01:09
9
Kelvin Kimela :
uko sawaaaaa😂😂😂😂😂😂
2026-07-09 22:07:37
1
criff.zk🇹🇿 :
scout nip hap na naend advnc
2026-07-09 21:12:52
1
-litha 🥰 :
nilikuwa scout but namba moja au mbili uhakikaa to this time nipo University
2026-07-10 08:46:11
4
Alee🧩 :
ila wababe 🙌
2026-07-09 21:27:53
2
Da✨️FATMA✨️ :
kuna ma handsome boy acha kabisa😂😂😂🙌🙌
2026-07-10 10:18:30
2
Amina :
Wababe AP kwel
2026-07-09 21:17:25
2
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm
homepage.