Roho wa Mungu Yuko ndani ya huyu mtumishi,, hakika wewe Ni mtumishi wa kweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-10 09:54:20
10
Henry Nkya :
Mungu ni mwema sana na kampa Onesmo hekima ya ajabu sana, anaishi akitambua tu ni Rehema na sio ukuu wa utukufu binafsi. Hii ni jambo jema na la kujifunza sana hakika
2026-07-10 06:59:52
10
sedekia urassa :
2026-07-10 07:54:53
1
fadhilindile :
ubarikiwe sana mtumishi ujumbe mzuri sana
2026-07-10 08:16:56
1
princess :
Kweli ww ni mtumishi wa mungu kweli more Grace man of God
2026-07-10 14:05:15
2
irene :
Mungu akubariki siku zote mtumishi🙏
2026-07-09 15:43:23
7
FIM KENNEL AND POULTRY FARMING :
Glory to God
2026-07-10 08:03:12
1
very :
Mungu akupe maisha marefu saaana baba 🥰🥰🥰
2026-07-09 21:09:34
7
wimgal :
nacheka huku nabarikiwa duh mungu akupe miaka mingi apa duniani baba
2026-07-09 18:30:31
7
Matayo Sala :
amina mtumishi
2026-07-10 10:12:30
1
dr_silajulius :
Safi sanaaaa
2026-07-10 08:56:46
1
Upendomollelu :
Ubarikiwe zaidi na zaidi Mwlm.
2026-07-10 09:05:45
2
cats.wonder.advent :
very inteligent papa 😍😍😍😍💥💥💥💥💥
2026-07-09 15:30:55
5
Delly 🌸 :
amen babaa
2026-07-09 20:54:54
3
julius jjj :
kweli
2026-07-10 05:40:15
1
Simony Henry🌹 :
Ameeeeeen Ameeeeeni mungu Akubariki Baba Angu Naaakutunze Nabarikiwa sana Nahuduma yako Kutoka KATAVI MPANDA MJINI
2026-07-10 15:09:47
0
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm
homepage.