@magarimaarufu: Wana Magari maarufu Muiteni hapa @ruge_magari hapa anatamba sana na LC 300 alete hapa aone mzee wa #GTR nitakachomfanya mimi nitakuja na #2GR stock Anipe Location na Muda mi nitasogea. #LC300 #Crown #magarimaarufu
Msifananishe Hiyo Crown Yenu Ya 260 Na LC300 Wazee LC300 ni Moto 🙌🔥🔥🔥
2026-07-10 10:59:52
1
GioVanY# :
😂😂😂MANZUNGUMZIA LC300 hiihii au WAZEE IV MNAUJUA MOTO WA LC300
2026-07-09 23:47:29
7
. :
Wakt ww umeweka sport mode lc300 anaweka eco mode na humpati.
2026-07-10 03:23:12
10
Haji Lubwaza :
Hapana chalii wangu v 6 and twin turbo series
2026-07-09 20:57:50
0
Greatness :
dashboard aftermarket 😂
2026-07-09 17:53:25
0
🍀🍀B.I.G.M.A.N 🍀🍀 :
According to chat gpt
2026-07-09 18:03:05
0
Labonta 🤩🤩 :
msifananishe na lc300 na vitu vya ajabu jaman😂
2026-07-09 16:37:42
14
Mwanza Best Tz🇹🇿 :
Ila watu wa Crown tuna Viburi jaman🙌🏽
2026-07-10 04:20:36
4
danirto96 :
hatakama atujui magari kweli lc 300 v6 twin turbo na crown daaah v6 2006 sawa
2026-07-09 20:55:54
3
ipyna :
Zaidi ya 5 seconds😁. Pamoja haijaanzia from scratch 0km/h. Imeanzia 20+Km/H napo pia sio 5 seconds, imetumia like 7+seconds.
Ukweli mchungu😁.
Kwa hapa bongobongo tulizonazo wananchi wengi labda Subbie Wrx sti, Fozzy sti SG9 na Sh9 zote hizo stock zita outperform lc300 petrol, ila battle kali. Ila kwa hiyo crown, noooo(hapana), haiwezani, labda basi tuseme mguu wa dereva hapo ulikuwa mzito😂.
But all in all 2gr ni 🔥🔥 300+Hp
2026-07-10 06:30:58
1
Effendi 🇹🇿 :
Yana hata kama Crow itakua na spend limit laki 5 lakin kumpata LC 300 ni ndoto
Kwenye maisha yangu nikisikia gari inaitwa land cruser tu najua uhakika wa safari upo
2026-07-10 04:52:46
4
reacher :
hii imetoka Singapore?
2026-07-09 17:46:44
2
ockytz :
mnamaanisha mnataka kushindana na hii ndege ya chini et, sawa wanetu safari njema
2026-07-10 03:21:24
2
Ramadhan Juma :
iyo crouw mbona sijawahi kuiona yenye spidi kubwa kama iyo crouw zote zinaishia spidi 180 eti wakubwa nyie mnamaonigani?
2026-07-10 05:25:57
0
Ally Vaniquizy :
mimi jamani nawaombeni sana sana mwenye LC300 anipe mimi ndio niwe dereva hzi dharau zitaisha
2026-07-09 18:01:28
2
@0fficialthedontajiri :
some fact hiyo bro
Kasi ya juu (top speed) → 2GR inakimbia zaidi kuliko LC300.Nguvu ya kuvuta na barabara mbaya → LC300 ina nguvu zaidi kwa safari ndefu na mizigo.Ukiwa mjini au barabara nzuri, 2GR itakimbia zaidi. Ukiwa safari za Morogoro–Mwanza na barabara mbaya, LC300 ndiyo mshindi kwa nguvu na uthabiti.
2026-07-10 07:10:04
1
SAN6 :
kaka nisaidie watu wani follow
2026-07-09 16:36:10
0
mashisha:bland! :
Hawezi uwo moto
2026-07-09 21:22:28
1
Haji Gavan G:12# 🧸🧸 :
Kaka tuna taka kuona iyo ligi live
2026-07-09 17:19:17
2
salimntillah :
singapore Model....
2026-07-09 17:47:48
1
Iamdrey :
Iyo speed na hamja vaa ata mikanda 😁
2026-07-09 19:50:37
1
Ima chawala :
mhh lc 300 hamja ijua bado ,,crown kwa shockup zip break zip ,,,taili zip zaku shindana na lc 300,,iyo crown ni bora ukishinda nisha na crown nyinginee ila sio lc300 ,,,kwasababu izo zipo 10 kwenye lc moja
2026-07-09 23:49:12
1
Joo :
Crown ni moto mwingine asee lc 300 haifati hapo naomba crown majesta ndio irecord hilo pambano Ruge akiwa anachapwa
2026-07-10 12:05:07
1
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.