@radiographer_noah: Replying to @Mwajey ♥️🌹 Utawezana?😂😂🙌🏾 ✅Safari ya ujauzito ina changamoto nyingi, lakini mwisho wake huleta furaha ya kukutana na mtoto. ❤️ ‼️Kumbuka, si kila mjamzito hupitia dalili zote zilizoonyeshwa. Hii ni video ya utani tu, na ni pongezi kwa akina mama wote kwa ujasiri wao. 🌹 #mamavijacho #newmom #cutebaby #pregnancyjourney #viralvideos

Radiographer Noah
Radiographer Noah
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 16:41:23 GMT
269172
10069
393
1297

Music

Download

Comments

bintmohammed89
Bint mohammed :
Cjawah tapika kutema mate wala kuchagua chakula Alhamndulillah
2026-07-10 06:43:09
71
joyg331
JoyG🥰♐️ :
🤣🤣🤣delivery mikoa yote
2026-07-09 17:06:08
30
mumiscake
Mumi's cake 🎂 :
😂😂 ndio nasubir jmn iyo stage ya mwisho ndio nipo mimi Allah aniimbie in sha Allah
2026-07-10 05:00:12
32
ruqaiyaandruhayma
RUQAIYA AND RUHAYMA :
nimejifungua mwezi wa7 taree3 tumetoka salama mm na baby girl wangu Allhamdulila 🙏🙏
2026-07-10 17:23:32
28
mamyoog
🦋mamy🍓🇱🇷✅ :
Mwezi wa kwanza niliumwa sana Mwezi wa pili niliaza kutapika kila ninacho kula Mwezi wa tatu nliaza kula karoti,maembe, ubuyu, na kuuchukia ubwabwa Mwezi wa nne nikaaza kutanuka mwili nguo hazinitoshi Mwezi wa tano nikaaza kula nikionacho mbele yangu 😂😂 Mwezi wa sita kiungulia jmn kwer nlipata Mwezi wa saba ndo huu nlio nao sasa iv kulala chali naona chakula kinaludi usoni😂😂
2026-07-09 17:38:01
23
miss.tawfeeqah26
Zariah Muslimah 🌹✨🇹🇿 :
hv week 15 mtoto kucheza bado au ni tatizo maana mm naona kimya hajaanza kucheza
2026-07-15 17:03:02
1
zenajela0
zenajela :
Eeh Mungu tusaidie nasisi tuka y shuhudia baba tutendee ambao bado
2026-07-10 18:03:04
8
0li.vash
0li 💞💞 vash :
nataman na mm nipitie hizo hatua ili nijue mama yangu alipata maumivu gani ee mungu nijalie nami
2026-07-11 11:33:15
7
wigesabinmahanda
wigesabinmahanda :
kwani wali uliwafanya nini wamama vija🤣🤣
2026-07-10 04:42:16
7
martha.baby463
baby m🦋 :
kama hutaki kuusikia wali like hapa
2026-07-10 11:47:47
21
hahiz250
H :
ila alichonifanyia ally 🥺
2026-07-10 08:28:56
6
isaacibra8
Isaacibra :
😂😂😂ila we mtt!
2026-07-10 11:12:08
2
mohameddorah3
Dora yassin :
😁😁😁😁😁hapo kweny delivery mikoa yote uwiiii 🙌
2026-07-10 06:49:38
6
saida.sultan3
Saida sultan :
delivery Dunia nzimaaa😁😁😂
2026-07-10 18:19:35
1
user7616103820073
lastbon mpumi :
mwezi wa kwanza tujuane basi
2026-07-11 11:18:21
9
user2700567856004
officialmemah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kam mazur
2026-07-10 11:38:25
1
ummusuhfi1
double s🥰 :
tunafanya delivery mikoa yote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-10 12:10:50
1
user4562076373178
riziki solo chikomele :
🤣🤣🤣🤣aibu naona mimi
2026-07-11 05:02:05
3
jolienininahazwe
jolie :
Siyo mbongo kabis 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-10 11:40:13
2
mustamirah28
𝐦𝐮𝐬𝐭𝐚𝐦𝐢𝐫𝐚 :
mbona ndo napitia saiv iyo situation ya1😩
2026-07-10 17:49:25
2
jacklinemussa375
JACKLINE MUSSA :
jamn na mm mung anijaalie niyaone hayo
2026-07-10 12:44:04
3
aminaah.msangi
🍓 🎀 Aminaah😘 🎀 :
Tunafanya delivery mikoa yote😂😂sijapenda
2026-07-10 04:55:24
1
To see more videos from user @radiographer_noah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About