@hisense_mlimani: Rangi sahihi hubadilisha kila sekunde ya mchezo kuwa halisi zaidi. Usikubali kukosa kila pasi, kila shangwe na kila bao. Furahia mechi za World Cup kwa picha zenye rangi angavu na ubora wa kipekee ukitumia Hisense TV. Tembelea Hisense Flagship Store Mlimani City Mall na ujionee tofauti mwenyewe.