Erick chrispas :
Afadhali mmeungana kumtumikia MUNGU,,,afadhali mngali vijana na kumtumikia MUNGU kuna faida,,,mziki mzuri unamgusa kila mtu,,this is inspirational song,,vijana tusikate tamaa kwenye utafutaji cause MUNGU ndio hutoa michongo,,,kupitia watu lakin wakat huohuo shetani hutumia watu kufelesha michongo,,,BIg is kusimama na MUNGU kila hatua..by the way good song,,good melody,,,Tuimbe tuimbe,,,,watu wa MUNGU
2026-07-10 11:42:59