@suleali07: Maasha'Allah. Zanzibar tuna Kiongozi wa mfano, kiongozi mwenye maono, kiongozi mwenye msimamo, ameonyesha njia. Hongera sana Mh. @Othman Masoud Othman kwa hotuba yako nzuri na yenye dira. #trending #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #CapCut #tanzaniatiktok

Suleiman Ali Seif
Suleiman Ali Seif
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 18:05:43 GMT
30454
1219
62
85

Music

Download

Comments

mrs.ramos967
Mrs Ramos :
Good Speech🥰
2026-07-10 05:07:40
4
alwattan.20
Alwattan 20 :
🤔 Dah! Kwa kweli, watu wa Zanzibar wamechoshwa na hila, fitina na ahadi zisizotekelezwa za kila siku. Katika nyakati kama hizi, si rahisi kumpata mtu anayesimamia maslahi ya watu kwa moyo wa dhati, uadilifu na usawa bila ubaguzi. Kwa yote unayoyafanya kwa nia safi na kwa kutanguliza maslahi ya watu, hakuna malipo ambayo watu wanaweza kukulipa yanayolingana na thamani ya juhudi zako. Malipo ya kweli yanatoka kwa Allah, ambaye halipotezi jema la mwenye kufanya mema 🥰 . 🤲 Allah akulipe kheri nyingi, akubariki katika maisha yako, akuzidishie afya njema, hekima, busara, subra na tawfiki. Ajaalie kila hatua unayoichukua kwa ajili ya haki, uadilifu na usawa iwe katika mizani ya mema yako duniani na Akhera. Allah akulinde dhidi ya kila shari, akuongoze katika kila jambo jema na aendelee kukutia nguvu ya kuwatumikia watu kwa ikhlasi. Ameen Yaa Rabbal Alamiina . 🤲
2026-07-09 19:56:45
21
breenamulaa
Breena king👑 :
Mbona anadodosa sana kama iyo speech hajaisoma mwanzo🥺
2026-07-10 05:14:07
4
mkuliajrjr
Ngasa1993 :
wanasiasa sio wat wa kuwaamini
2026-07-10 06:27:02
6
babliy627
Babliy :
Hotuba hii itabaki kuwa hotuba bora💯
2026-07-09 23:10:42
19
a.kokochi
Aliy K. :
Hotuba mzto na inayosisimua asnt sna kiongoz wet mung akubrik sna kwa kila jambo
2026-07-09 18:28:56
15
taliban1303
taliban :
mwenyez mungu akulinde sana omo na
2026-07-09 18:45:28
15
zanzibar_canada_boy
car :
ameongea point
2026-07-09 19:13:55
12
luchayna
luchayna 🥰 :
mmh kw ccm hy mungu atuek ili tuzid kuon lkn si watu wa kuaminik at kdg 🥺
2026-07-09 20:18:29
9
adil_abenaso_67
adilabenaso_67 :
Umoja ni nguvu Zanzibar kwanza
2026-07-09 23:49:35
11
dda851
Adhnat :
Allah akulinde baba
2026-07-10 04:27:17
7
bin_habib05
Bin Habib :
Mwalimu ameongea... ❤️❤️❤️
2026-07-09 18:20:54
8
khalfani.kirade
Khalfani Kirade :
uko sahihi
2026-07-09 21:05:22
7
maalimasaa
ruweha :
Umesema kweli muheshimiwa mungu wape umr zanzbar kwanz
2026-07-09 19:29:38
7
bin_mudi
Mudi :
aaaaa faidaaa yenuuu iooo kwenuuu tuuu
2026-07-10 11:59:38
1
masoud.amaan
Masoud Amaan :
mashallah somo zito lenye mazingatio
2026-07-09 19:14:12
6
aligraphicsdesign
Ali Graphics Design2023 :
hii ni hutuba iliyo gusa nyoyo za viongozi wote na raia kwa ujumla Allah akusaidie kwenda kuwasha taa ili kiza kiondoke
2026-07-09 20:00:45
6
zanzibar_canada_boy
car :
dahh inaumizaaa
2026-07-09 19:17:28
9
ismailyakoub548
MAKWAJU :
kilamtu afanye kaziake
2026-07-10 06:37:59
3
ibrahim.mohammed84
Ibrahim Mohammed :
tumuombe mungu ccm hawana ukweli
2026-07-10 03:45:40
3
user625683020215
Riyadh :
2026-07-10 03:36:51
2
munasuleyman2
Bombom :
Wowww
2026-07-10 03:40:03
2
khalifagenius2
K/r harnandez :
hii hutba imekamilika
2026-07-10 12:07:18
1
naymor05
naymor05 :
Hutuba nzuri sana ambayo yote uliyosema yapo ktk nyiyo za watu
2026-07-10 04:38:55
3
To see more videos from user @suleali07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About