@sparepartstz: Hilux Vigo imejijengea sifa ya uimara na kutegemewa, lakini hakuna gari ambalo halihitaji matengenezo. Kama unatumia Hilux Vigo kwenye safari ndefu, kubeba mizigo au barabara zenye changamoto, parts hizi huwa zinapata mzigo mkubwa na zinafaa kukaguliwa mara kwa mara ili kuepuka gharama kubwa za matengenezo. 💬 Je, ni part gani umewahi kubadilisha mara nyingi kwenye Hilux Vigo yako? 📩 Tuma chassis number yako tukusaidie kupata Genuine Toyota Parts zinazofaa gari lako. 📍 Drive Genuine Auto – Genuine Parts. Trusted Reliability. #tanzaniantiktok #spareparts #hiluxvigo #toyotahilux #carservice