@fredmsungu: Moja ya jambo la msingi kuelewa, zawadi ya wokovu si kwa ajili ya kwenda mbinguni tu.. ila ni pamoja na kuhamishwa. Kutolewa katika njia mbovu za kale ambazo zinaweza kuharibu maisha ya mtu. Ni kweli kuna tabia za familia / koo ambazo zinaweza kuwaathiri watu, Lakini unapo okoka na kujua umehamishwa unaweza kukomesha kila tabia isiyofaa na kuamua kuishi kama vile watu wa ukoo wa YESU. Pokea ufahamu ambao utabadili historia yako kwa jina la YESU #TutakuwaWengi #Doxa