@warbie08: kwani inaitwaje vile??

.
.
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 19:18:24 GMT
97670
7151
590
4339

Music

Download

Comments

sarashao232
Sasha princess 👸 :
Tinga tingaa me naangalia hadi saivii na sina mtoto hata mmoja🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-10 08:21:07
447
salmamussaabubaka
✨️sally🧚‍♀️🎻 :
Mimi nilikuwa naamka mapema kuangalia tv 1 jamani😂
2026-07-11 10:21:36
63
black.butterfly738
black butterfly 🦋🦋 :
na bado naangalia mpaka siku hzi na sina mtoto, sina hela bado naomba kwa walionizaa😂🙌
2026-07-10 09:10:57
52
mrsalmas1
Mrs Alma's 🧸🦋🌹 :
Kweli tunazeeka sas 😂😂😂
2026-07-10 12:53:32
23
user298042786169
His :
ndo kwanza first year to be
2026-07-10 08:03:39
8
niffer76627
I am niffer 👑 :
nimeanza kuangalia nipo shule ya msingi mpaka sasa na Sina mtoto hata mmoja 😂
2026-07-11 07:26:44
25
mageti24
Saida🧕🏻 :
Nilikuwa naitafuta sana hii katuni asante sana bro 😂
2026-07-11 15:19:35
6
tiffanie_181
Tiffanie🖤 :
Mimi ndo kwanza naitikia “kwanini” na sina mtoto,sina ndoa, wala mahusiano serious sina😂
2026-07-11 10:12:28
13
gayojohn57
gaius139acbd :
nauliza kwann sina hao watoto wawili
2026-07-14 11:35:07
8
rannie_tz
officalranny01 :
😂😂😂 na sinaa mtoto ataa mmojaa na sina mumee walaa mchumbaa
2026-07-10 09:20:58
5
destinyfa03
Blessing@16 :
Mi naangalia nina mtoto 1🥰
2026-07-10 10:24:38
1
pinah648
🦋pinah_🥰 :
Nina watatu
2026-07-10 12:59:26
1
macsmiler02
B.macsmiler🫶🏾❣️ :
Nauliza Nini Nini Nini kwann
2026-07-12 17:29:29
0
mamywaa99
mamy waa99 :
mimi nimeikariri nyimbo zot za tinga tinga na xina mtot hata wa kusingiziwa
2026-07-14 11:24:35
4
doublet2821
DoubleT :
Ah wee mm nina watt 3 cc na wanang wanaipnda sana😂
2026-07-10 20:15:10
2
icegirl813
its'suzylly🤏 :
nauliza nininini kwa nini niwe na watoto 2
2026-07-10 21:18:26
1
nuruh.nyangi
🧸𝒯𝒶𝓁𝓁𝒾𝑒༒︎❤︎🤎🌤️ :
M bado Jmni
2026-07-10 11:56:42
1
respicius04
Respicius04 :
sina hata mmoja 🤣🤣🤣
2026-07-10 10:20:38
6
itcflaw
flawless🌺 :
sina hata dalili ya mtoto😂😂
2026-07-11 08:27:41
1
angelmbise77
Angely🤍😇 :
na ninajua kuiiimba yotee kbs🤣🤣
2026-07-11 06:35:44
1
amor25317
amor :
du kwel nmezeeka na sna hata mtoto
2026-07-22 06:29:49
2
To see more videos from user @warbie08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About