@al.akhi.naasir7:

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 09 July 2026 19:41:11 GMT
180094
23418
612
1473

Music

Download

Comments

babymisslikongo13
Babymiss Likongo :
subhanallah sisi ambao hatuna ilm ya dini tunavurugwa wallah
2026-07-10 05:06:38
301
saumubindo
saumu bindo :
MASHEKHE WA TIKTOK🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😅😅😅😅😂😂😂😂🤣
2026-07-10 03:28:25
71
user47808497086156
Mja wa Allah :
mm huwaga na mashaka nae sana huyu
2026-07-10 02:27:06
136
user1380626896411
Bby j💋 :
subhanallah huyu kijana anaekosolewa m cjawahi kumuamini na leo ndo nimethibitisha mashaka yngu dah Allah amsameh
2026-07-09 19:56:18
80
duda.mastar
Duda Mastar :
Allah atuongoze katika Dini yetu Inshaallah 🙏🙏🙏
2026-07-10 07:42:00
89
mzibu7726
𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐳𝐲 :
eti anasema uswali au usiswal
2026-07-09 20:08:42
72
ommy.12hh
omary :
assalamualaikum shekh sijui kama nitakuwa nakosea na mimi lakini unapaswa kitambuwa kitu hata usome Kwa Kiasi gani huwezi maliza elimu hii ya dini ya kiislamu inavitu vingi mnoo mnoo wallah si kwamba umekosea na si kwamba yeye kakosea ufanyae mema hulipwa ujraa Kwa AKLAH S.W si sotee tunatambuwa Hilo hukupaswa kuandaa hii video kwasababuu utaleta mtafarukuu mimi nimejaza video zako nyingii sana na za kwakee nyingi sana najifunza mengi sana kutoka kwenu lakini kwahili sijui ata nilisemaje kiufupi ni kwamba kumkosoa mtuu si kumuelimisha na pia kujiwekea usahihi ndani yako si sawa shekh wabbliah tawfiq..... natumai huto nielewa Kwa ubaya inshallah
2026-07-10 18:34:53
44
user7482472857746
Salma chihonde :
mimi nineshangaa jamani milango 80 tena jaman pepo ya nani iyo yenye milango 80😇😇😇
2026-07-09 19:55:34
44
rayan.malik66
Rayan malik :
mm ndio maana Nina mashaka nae sana tangu zaman
2026-07-10 05:11:13
21
michymichy92
Fahimichy🥰 :
Ndo mana sijutii kukufollow ustadh..
2026-07-10 06:23:39
5
user290872082991
dada jemmy :
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu,samahani nauliza sisi wanawake tunapaswa kuswali kabla ya walio msikitini,au had wamalize kuswali
2026-07-12 08:55:31
6
farydully
hashfar🥰 :
Allah akuhifadhi uwe unatufundisha haqq
2026-07-09 20:24:59
25
01243imiss
user8716107747357 :
kuna kazi kazini😃
2026-07-10 05:43:50
5
jumafleti
Juma Fleti :
Sawa sawa ustaz mm nipo pamoja na wewe
2026-07-09 19:49:06
7
coman_msafi
coman-msafi :
uzushi katk dini
2026-07-09 21:08:51
6
schidzuga
Schidzuga :
Ma ustadh wamekua wengi sana ticktock , shukran kwa kutuokoa kwa hili.
2026-07-10 18:58:49
5
salimboko790
Salim Boko :
Jazakallahu kheiran 🥰🥰🥰
2026-07-09 19:59:20
6
user8040547628497
Haruna :
jazakallah kheir
2026-07-09 19:56:06
5
abdulhamidnyota
Abdulhamid :
Assalaam Alaiku
2026-07-10 05:28:51
6
abdallahmwaka3
mwanaidi mwaka :
shukrani kk sana kwa kutuelimisha Allah akulipe ww
2026-07-09 19:51:36
9
mudy0715843706
Mahmud Ahmed :
inasikitisha sana
2026-07-09 20:00:16
7
abdulswamadi2
keine Zeit zu verlieren :
Hii dini Bila kua makin unapotea..Umakini unahitaji kiukweli na busara
2026-07-10 05:56:02
11
tausimuyonga
tausimuyonga :
kaka mungu akubaliki sana wallah kumbe tunadanganywa na wengine
2026-07-11 13:52:27
6
yassinkhalid75
Yassin Khalid :
ASALAMU ALEIKUM WARAHMATULAHI WABARAKATU BROO Wanatupotosha sana warekebishe Ostathi
2026-07-10 09:47:08
6
tima6153
TIMA🥰 :
Asante sana maana skuizi watu wanapotosha sana coz wengi wanajifunza kupitia tiktok na sio vitabuni
2026-07-10 08:04:34
5
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About