@zaynul_khatamiiy75: HILI NI TUKIO LA AJJABU MIONGONI MWA MATUKIO YA AJJAB AJJAB!! SAYYID OTHMAN BIN SAYYID ABDULQAADIR (R,A) #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #SAYYID OTHMAN BIN SAYYID ABDULQAADIR #fyyyyyyyyyyyyyyyy #tiktokviral #qaadiriya @Saleh Omary
Khatamiiy
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 19:56:54 GMT
Music
Download
Comments
Yahoo 파이낸스 :
kuku niishara ya mja mwema mungu atuongoze kwenye mambo mema
2026-07-10 11:30:38
149
aishayussufsaid :
sayyid othman abdulqadir othman muhammad yaa rabbi mpelekee malaika wema.Amiin
2026-07-10 15:13:52
23
mwanalicous_uzazi_natural :
vipenzi vya mwenyezi MUNGU huwa hawafi Alhamdulilah ALLAH akujaalie miongoni mwa watu wema shekh wetu
2026-07-10 05:41:39
79
Karua :
Mashaallah Allah amlaze mahali pema peponi amiiina. Maalimu Siasa nampenda sana kwa ajili ya Allah 🥰
2026-07-10 13:52:51
22
🍎 :
malaika uyo jamani Allah atupe mwisho mwema
2026-07-10 18:57:14
32
it's me🌺 :
allah atujalie mwisho mwema
2026-07-10 12:32:19
14
aysher Abdul-aziz :
ameen yarabb allah atie nuru katik kaburi lake mashallahu
2026-07-10 18:23:52
8
ABUU KHARDAL :
kipenzi cha Mungu huyu
2026-07-10 10:55:43
11
Khamis Masms :
Amiin yarabi Allah Ampe nuru katika maisha ya huko AKhera.
2026-07-10 11:12:50
8
hassanalawi148 :
ALLAH amraham sheikhe langu mlezi wangu amenipa ijaza AlhamduLILLAH
2026-07-10 17:05:07
5
Hamida Haji :
Mashallah Mwenyez Mungu amjaalie kauli thabit malaika wema wawe wazungumzaj wake Yarabbi 🤲
2026-07-10 14:18:00
9
Biasha bby😍😍😍 :
Ameeen thuma Ameen 🙏🙏
2026-07-10 20:48:16
4
🪽💎genzy. quin💎🪽 :
Amin
2026-07-10 18:27:35
2
Shaff ally :
Amen
2026-07-10 20:56:35
3
🦋mayra🦋 :
mashllah
2026-07-10 20:13:40
2
Fatma Aliy :
innalillah wainna ilahi rajin
2026-07-10 08:43:59
7
kassimusadick :
amiin
2026-07-10 19:55:29
2
Alhamdulillah :
:اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة يارب العالمين🤲 . يا سيد عثمان بن عبدالقادر رضي الله عنه🇲🇻
2026-07-10 05:26:33
8
amina hasani :
amiina
2026-07-10 17:10:27
0
tuma :
Amin Amin Amin 🙏🙏
2026-07-10 18:14:53
1
Mwajuma Saidi :
Ameen Ameen Ameen
2026-07-10 19:20:48
2
Rahma 🧕 Omar 🥰 :
mashallah
2026-07-10 18:36:43
2
Layla Baby :
Amiin Thumma Amiin 🤲
2026-07-10 19:10:11
2
Jamira Paul :
Innalillah wainaillah rajuun
2026-07-10 20:54:12
2
SAWAKA WA KITONGA :
amiin inshallah
2026-07-10 19:50:49
2
To see more videos from user @zaynul_khatamiiy75, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.