@nyebowsa_media: Katika kusherehekea miaka 30 ya Bongo Fleva naomba nikumbushe "Kwaheri" ya kwake Juacali huku ilipambwa zaidi na Mwanadada Sana Na jambo jema ni kwamba Kwaheri utaisikia live kwa sababu Juacali atakuwepo mjengoni #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #eastafrica #juakali

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 July 2026 21:19:45 GMT
89524
6016
130
88

Music

Download

Comments

levijoey7
🩵M.S.O.N🤗 :
my favorite tbt🥰
2026-07-11 07:55:44
0
officialmure
officialmure :
My childhood song🥰
2026-07-11 07:27:43
0
jey.zeydu
jey zeydu :
broo iyo nyimbo nom san kaka
2026-07-10 17:16:22
0
paty32216
paty💋💓 :
kumbe nyimbo yangu pendwa inatok kwa majiran dah naipenda san hii 🥰🥰
2026-07-10 08:49:21
62
user8276610292973
Mis Nana💋 :
Jamila analia 😭😭 Kamilion
2026-07-10 05:01:19
1
hassan.haruna197
Hassan Haruna :
Haichujii kmmk noma saaaaaanaaa.
2026-07-11 06:41:10
1
evodear19
evvy64 :
juacal alitisha sana humu 2006 ngoma ina hit niko form 2
2026-07-11 07:35:20
2
shamy2619
🦋me❤️ :
na ile lugha gongana naipenda🥰
2026-07-11 06:43:35
0
arakenzo0
Arakenzo :
kabisa. yani nikiisikiaga hii ngoma nakumbuka mbali
2026-07-11 06:07:37
0
shebby61
Msabaha :
nilikua naipend hii nyimbo
2026-07-10 16:58:44
11
olver2167
Mom Muh 🤍🫀🧚 :
jamn wengine hatuna madishi ya Azam sijui tunaangalizia wapi 😔leo
2026-07-10 17:00:56
8
ommyjay6
ommyjay :
mi pia nilijua mtz
2026-07-10 05:17:28
10
anthjk
AnthJk :
umejuaje tulikuwa tunaipenda hii nyimbo
2026-07-10 20:50:07
4
imaxtuartz
immah_stuart :
2026-07-10 20:01:07
1
shammylabelle
shammy la belle❤️❤️💄 :
na inaishi siku zote yan🥰🥰🥰
2026-07-10 03:26:47
7
nzugunihood
GULLU GIANT :
oy jamaa walikuaga nomaa sana ...heshima sana kwa 254
2026-07-10 16:57:18
5
giraffe4088
@giraffe :
Nasinzia nikikuwaza kaimba nani yule sijui! Hiyo nyimbo niliioenda mno since Niko form two till now
2026-07-11 04:04:50
0
bimzurii7
🍫✨ 𝐃𝐀 𝐘𝐔U CHOCLATE CAK 🍫 :
apooooooooò kuna sticker yakucheza hii nyimboo hii nymb naipenda roho yng wallah unasema apana apana apana ah weew🥰
2026-07-10 19:37:14
2
chinidedenzel
Chinide Denzel :
mpenzi kwaheri by juakali
2026-07-10 16:25:40
2
abinely5
Abinely :
halo by maro
2026-07-10 07:06:16
4
mr.bei.poa3
Mr Bei Poa :
ni hii tu moja lakin
2026-07-10 18:56:49
1
ivanny902
Ivanny 👑 :
Queen ,Logombash nyimbo yangu bora
2026-07-11 05:46:20
1
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About