@m2kwao28: 🌙🕌 Ijumaa Qareem! Mwenyezi Mungu aikubalie ibada zetu, atujaalie moyo wa kumkumbuka daima, na atupe afya, amani, riziki yenye baraka na mwisho mwema. Tuombeane dua na tuzidishe salawat kwa Mtume ﷺ. Ijumaa Mubarak! 🤲✨ #IjumaaQareem #JumaaMubarak #BarakaZaIjumaa #Islam