@mwl.emilian.katub7: Nimekuombea hii Neema siku ya leo Mungu akupe mlango wa kiuchumi utakaokufanya ujitegemee mwenyewe kimaisha na kiuchumi hautawategemea wanadamu tena bali utamtegemea Mungu aliyekubariki na kukupa mlango wa kichumi katika jina la Yesu Pokea hiyo Neema siku ya leo
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Friday 10 July 2026 06:42:40 GMT
Music
Download
Comments
loml :
everybody say AMEN 🙏
2026-07-10 08:04:41
592
ValMarano :
Mungu Hilo nikatimie kwangu in the name of Jesus Christ Amen 🙏
2026-07-11 06:50:53
2
mejar peter :
Kama unaamini yote yawezekana Gonga like tukiamini pamoja🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
2026-07-10 19:25:37
181
Faith chepkosgei🥰 :
needed to hear this amen 🥹🙏🏿
2026-07-10 23:49:16
1
happiness :
Hilo ndilo ombi langu baada ya dharau la mume wangu
2026-07-10 07:04:15
218
Fana oktober dorcas :
amen amen pasta
2026-07-11 00:23:11
2
superwoman :
thank you jesus for having mercy on this daughter of yours
2026-07-11 06:41:19
2
Margret An :
Amen and amen 🙏
2026-07-10 07:51:58
1
Jepkeu🌹🌹 :
powerful one amen
2026-07-10 19:54:15
2
Noerap :
everybody say amen
2026-07-10 14:17:00
21
Irene Dennis :
Amina Kwa jina la yesu kristo
2026-07-10 08:25:40
141
pure 🥰😍🥰🥰😘 :
amen it work i have seen it amen thanks lord
2026-07-10 17:21:01
26
jaivah star :
Napokeaa kama mtumishi alivyotamka katika jina la yesu 🥰🥰🥰
2026-07-10 07:17:06
82
Nancy :
Mungu nipe Neema ya kujisimamia mwenyewe kwa maisha yangu 🙏🙏🙏
2026-07-10 10:57:50
30
jacklinemassae4 :
Amen baba
2026-07-10 08:26:38
17
vera123.54 :
Amen 🙏. Namtegemea Mwenyezi Mungu siku zote
2026-07-11 06:05:45
11
Simon Frank :
Nimekukimbilia Bwana nisiaibike milele, ninakutumaini wewe kama mlima sayuni, na sitotikisika milele amen
2026-07-10 21:56:09
20
Wemaa❤️❤️ :
Jambo hilo naliomba sana yaan Mungu ndo anajuaa🥰
2026-07-10 17:28:47
9
Elisha Amani :
amen njo kweli ile Papa pasta mungu anibariki kwa maisha yangu anipe neema ya pesa kwa maisha yangu
2026-07-11 06:32:05
5
juyne :
remember mi Lord I need this breakthrough to depend on my own ooh Lord 🙏🙏🙏
2026-07-10 07:43:00
16
Mluhya Wa Kakamega 😍 ♥ :
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-11 06:23:09
5
user536656498 :
Amen nahi lo johombilangu mungu nipeuwezo wakujitengemea🤲👏💃
2026-07-10 07:18:49
5
Gertrude :
Ameeen and Amen 🙏
2026-07-10 21:52:47
5
Thoko Phiri :
Mungu nipe neema yakujisimamiya mwenyewe katika Jina la Yesu christu Amen
2026-07-10 08:24:31
15
Rachel :
Amina Asante MUNGU napokea kwa jina la YESU kristo wa Nazareth aliye hai 🙏 🙏🙏
2026-07-10 17:34:35
7
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.