@amfrankfrank_: "Mmoja ana ufundi wa asili, mwingine ana nidhamu na nguvu ya chuma. Swali la karne: Nani kweli ni GOAT wako? ๐โฝ #SoccerTikTok" #Air20Extra #EmergencyLanding
umeongea Sana broo Ila nimegundua unaakili mno baada ya kusema hitimisho la mjadala ninalo mm. it a matter of opinions โบ๏ธโบ๏ธdamn
2026-07-10 18:40:54
0
#KIZZYD#MATISM :
CR7
2026-07-10 09:01:02
0
Bubasan :
Cr7
2026-07-11 05:06:13
0
ndelwa_official :
2026-07-10 09:30:37
1
popsmokemankid2632454755697777 :
messi ametisha akiwa spain basi ila GOAT nampa CR7
2026-07-10 10:16:18
1
October Boe Tz :
Lione Messii
2026-07-10 12:50:15
1
@oficial ฦษชลลลษชฮเฏฑไธไธ+255ลคไน :
cr7 weweee
2026-07-10 15:08:02
1
ULIMBOKA amanyisye :
Ronaldo
2026-07-11 05:27:37
0
Ray Diesel :
Mtu mwenye record za kipekee ambazo ni ngumu sana kuvunjika kwa miaka mingi ijayo ndo GOAT kwangu; 1. Mtu aliefunga kila dakika ya mchezo yaani ana record ya goli dakika ya kwanza hadi dakika ya tisini. 2. Mtu aliefunga kila tarehe ya mwaka na mwezi (search, weka tarehe yako ya kuzaliwa kisha ongezea Cristiano Ronaldo goal), na mwisho 3. Kuna msimu alizifunga timu zote 19 zilizoshiriki La Liga msimu huo. Namuheshimu Messi, lakini kwangu GOAT ni CR7.
2026-07-11 05:15:39
0
gege :
GOAT ni CR7
2026-07-10 13:59:02
2
Sameer Mbaraka :
mbona siyo mjadala tena since 2022
2026-07-11 05:24:56
1
To see more videos from user @amfrankfrank_, please go to the Tikwm
homepage.