ila mnazani unge muuliza shekh akuelekez uwenda ujamuelewa usianze kukosoa uwenda ukawa nauwelewa tofaut
2026-07-14 09:27:54
3
side boy :
mambo ya bidah aifai
2026-07-12 18:18:08
6
mti mkavu. :
kwani shekhe ni mtume hakosei. na shekhe kwani hana makosa kila mmoja ana makosa yake. hakuna asie kua namakosa zaidi sai ilio bakia nikuabishana kwa huo ndio udhaifu
2026-07-14 17:16:41
0
sheshunda sighe tz :
namkubali shekh walid
2026-08-02 06:41:46
0
Abuujaylaan online tv :
ALLAH atuongoze katika kutenda khery insha ALLAH
2026-07-13 15:30:06
5
خميس ابن حميد :
video za shekhe zipo mbili lkn umeipa raddy moja tuh alisem namtu anaenda kweny maulidi bc asije kwenye darsa yake ko shekhe alicho kimaanisha anatak wanafunzi wake wafanye yote waingiye darsa nawaende kwenye maulidi
2026-07-19 20:05:15
2
almasmaleta :
shekh ujamuelewa
2026-08-03 18:39:35
0
BASHIR :
s A W
2026-07-13 06:02:32
0
roma jeans 👖 :
@roma jeans 👖: Mm naamin shee walid Ana stail kuwa shee mkuu Tanzania
2026-07-15 10:35:49
0
Rajab :
ww allah akuongoze
2026-07-12 14:32:15
1
saheel said :
safi sheih wangu
2026-07-12 07:28:36
0
Abdul Rahman :
AAKHIRI ZZAMAAAAAAAAAN
2026-07-12 03:58:30
0
Abuu Ahmad ☝️🕋 :
Kumbusha akhuwa Allah akuhifadhi U
umma unapotea huu nawanao upoteza Ni wale wanao jiita masheykhe ma,alim subhaanallah Allah atuongoze 🤲
2026-07-10 19:03:37
2
Sahil Sohail :
shekh mimba wanapewa madras ilo lamimba sio fakt
2026-07-14 09:21:34
1
Sahil Sohail :
mbona wahun walikuep tokazama zamtume
2026-07-14 21:05:54
0
Sahil Sohail :
na kingine shekh maulid hayapoiv ngoja tukutmie yanavokua ao wahunitu katikadin kama wahuni wengine maurid yan utaratibu wake tena ulokua mzur kabisa
2026-07-14 09:37:32
2
Sahil Sohail :
kwenyehilo popamja tukemee
2026-07-15 07:18:34
0
Mego boy :
katika watu ambao sijawai kuwaelewa ni mawahabi
2026-07-11 03:47:58
4
yassini fadhili :
mm namuunga mkono sheh walidi yupo sawa na hamna ambacho hakijaeleweka apo
2026-07-13 07:40:29
1
❤💞M❣️💝S💕 :
kwaio mawahabi wame soma Sana nyie hamna elim sio
2026-07-12 06:51:31
2
ustadhhamad :
MAALIMU ELIMU BDO MAMA NA MTUME MUHAMMAD BORA MTUME MUHAMMAD S,A,W
2026-07-10 12:28:55
1
Adam Katabi :
huku sio kukumbusha Huk ni kujionyesha kama unataka kumuelimish mfate faragha yeye mwenyew sio kumtoa mtandaon
2026-07-18 08:06:20
1
محمد بن صالح العثيمين :
sheikh walidi ana maneno ya hekma sanaaa ajua darasani wengi watakuja ila maulidini baadhi yao huwa wavivu Sasa lazim aweke mkazo maulidini
2026-07-31 18:56:12
0
أبو ياسر5 :
Sub hanna Allah hapa ndo tulipo fikia tunasoma lakini sheria alizo ziacha mtume tumezigeuza na hatuzijui zaidi ya kuwafata walimu wetu badala ya mtume
Leo ukifata alokujanayo mtume unaitwa wahabi mpinga dini kweli yapi mafunzo ya mtume aloyacha ila walozuwa watu ndo haki na ya mtume si haki
Allah tusamehe waja wako
2026-07-19 20:15:56
0
mjrboy :
kwel kabisa sheikh
2026-07-11 04:56:38
0
To see more videos from user @haki.ukweli, please go to the Tikwm
homepage.