@mahustech_: electric fence installation Tunafunga uzio wa umeme kwenye nyumba, godown, shambani kujilinda dhidi ya wezi, majambazi, vibaka kwa gharama nafuu sana. Kazi zetu tunatumia pure aluminum poles and wires hivo hudumu kwenye eneo lako zaidi ya miaka 10. usisite kuwasiliana nasi kwa huduma bora kabisa 📱 tupigie simu 0769 255 595 / 0687 420 124 📍 tunapatikana mwenge karibu na shule ya mapambano tunafanya kazi mikoa yote