@millardayo_: ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ@frida amani @Vido vidox

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 07:50:12 GMT
88412
9183
245
135

Music

Download

Comments

neema.mbaga
Neema Mbaga :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila Frida
2026-07-12 17:39:49
0
rubenjr1170
STATUS VIEWS DM :
KUNA SISI HATUNA BABA ๐Ÿฅบ
2026-07-10 09:07:09
114
janethpeter111
Janielux ๐ŸคŽ :
ila Frida ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-11 13:24:14
0
luu038140
Luu๐Ÿฆ‹ :
tusiona Baba tunacoment wap๐Ÿ˜‚
2026-07-11 09:56:54
0
ramaasavannafibertanzani
Ramaa Agent Savanna Fiber :
Mazeee mimi kuongea na mzee wangu zaidi ya dakika tatu ni mtiti sanaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-10 18:14:54
34
user1921209690369
yusra kamaru dini :
Mungu wangu baba angu uwa namuogopa sana nilimpigia sm lazima nikae mkao tofauti kama vile niko nae live ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-07-10 18:21:47
85
mwanakombosaidi827
Call me Sosi :
Mimi nilishawahii kumuandikia hiyo message ..baba nakupenda sana..haikuchukuwa hata sekunde alinipigiya na kuniuliza umeshakula??wallahi nilicheka sana
2026-07-10 09:26:44
61
nanadior52
๐Ÿฆ‹Nana Dior๐Ÿฆ‹๐ŸŒนโ™€๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ฒ :
nilimwambia baba nakupenda akanambia "ninamke tayari"
2026-07-10 16:17:54
20
user2353008067101
Esther ๐Ÿ’•๐Ÿ™ :
nilimwambia Baba nimekumiss akanimbia niache uhuni
2026-07-11 13:51:46
3
kulanga2
kulanga :
hio ya kusema baba nakupenda sana waongeee wanawake tu wanaume haijaka sawa kabisa yaani iko na ukakasi kabisa
2026-07-10 15:35:48
20
abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Very True Sister Frida Amani
2026-07-10 08:07:35
27
triple.p256
triple P :
sina babaaaaaaaah๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-07-11 07:22:03
1
marianacharles22
mariana TREND :
mimi utasikia leo funga tu sina hela ๐Ÿ˜‚
2026-07-10 09:06:50
10
sarahsanane918
Sarah :
Kaka millardayo samahan naomba kazi aiseh ata ya usafi Asante
2026-07-11 13:15:49
1
cheafngote
cheaf_ngote :
M wangu ataniambia sasa unatak kuomba nini๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-07-10 07:53:32
12
treciouskisoka4
Kisoka ladyโค๏ธ :
ongeraaa mlio nababa wenzetu sisi atuna baba๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-07-10 09:44:23
5
..hapsa_6
..hapsa_6 :
baba angu atasema sina hela leo
2026-07-11 12:04:34
2
mamajoyce7
Ney Joy :
wangu atanijibu nakupenda mama yangu
2026-07-10 18:56:19
2
zuberialexander60
Zube Lee :
mimi kuongea na mzee wangu mpaka niwe na shida na naongea hazizidi dakika 2 au 3
2026-07-11 14:31:34
3
user9001837235297
Dorcy mathew :
ila frida
2026-07-10 15:18:56
3
thankiinstar
thankiinstar :
Baba ang jmn๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€utasikia ASANTE MAMA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
2026-07-10 19:07:39
2
anitamembe901
Anita Membe :
sijawai kuongea na baba
2026-07-11 12:39:06
1
sporah20
SPORAH :
Me kwanza atacheka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-10 09:50:10
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About