@rfi_sw: Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu hapo jana Alhamisi alisema vita havijakamilika. Kauli yake aliitoa wakati akihudhuria hafla ya kufuzu kwa wanajeshi wa Israeli ambao wamekuwa kwenye mafunzo Kusini mwa nchi hiyo. #Netanyahu#Israel#Iran#Middleeast

RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 10 July 2026 08:19:57 GMT
2596
136
0
4

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @rfi_sw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About