phidemutindi a.k.a Kamba bae :
Mungu yupo,,,,tunamuomba,,,kwa neno lake ametuambia tumuite naye atatuitikia🙌🙏,,,nikona ushuhuda,,niliota hizo ndoto ,,na mm niliomba nikajitenganisha na maroho za ufukara,,nikajitenganisha na maroho za kukataliwa ,,nikajitakasa kwa damu ya Yesu Kristo 🙌 sai nipo Sawa tu,,,,namshukuru Sana Mwenyezi Mungu 🙌
2026-07-10 19:50:54